Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Community shield is regarded as England Super Cup.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuwa serious kidogo basi mkuu
IMG_1958.jpg

Curtain raiser : a entertainment or event happening before a longer or more important one.
Jina lingine inaitwa “ glorified friendly” haya yote ni majina ya community shield hili si kombe ila kama arsenal mnachukulia ni kombe basi sawa hatuwezi kuwazuia .

Tuseme basi haya mwaka huu mmechukua kombe 1 community shield hongereni kwa kombe.
 
Kuwa serious kidogo basi mkuu View attachment 2801804

Eboo kwamba CURTAIN RAISER😂😂 si bonanza hili halafu wanajisifia wamechukua kikombe. Mkuu hizi spana unazowapiga ni hatari😂😂
 
Kwamba mtabeba mojawapo si tulikubaliana tuna kikosi kipana cha kuwania makombe yote mmeanza kupunguza idadi

Mpaka may ifike tutacheka sana humu yaani itabaki sijuiii phase 4 or false 4 .

Yaani humu ndani panafurahisha sana wakati wenzao kina grealish wanashangilia ubingwa au kule jukwaa la man city wanashangilia ubingwa huku arsenal wako bize na usajili ikifika wakati wa games na vichapo wanaanza tena kuongelea usajili wakati watu wapo bize na kutafuta kombe wao utasikia sijuii January Nketiah atafutiwe forward mara mbadala wa haivertz .

Mpaka watu wanaachukua ubingwa wao wanaanza kuhangaika na FALSE 3 or FALSE HOPE 4 yaani ni mwendo wa series tu za FALSE aka PHASE .
 
Kuwa serious kidogo basi mkuu View attachment 2801804
Curtain raiser : a entertainment or event happening before a longer or more important one.
Jina lingine inaitwa “ glorified friendly” haya yote ni majina ya community shield hili si kombe ila kama arsenal mnachukulia ni kombe basi sawa hatuwezi kuwazuia .

Tuseme basi haya mwaka huu mmechukua kombe 1 community shield hongereni kwa kombe.
Serving as England Super Cup umeona hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eboo kwamba CURTAIN RAISER si bonanza hili halafu wanajisifia wamechukua kikombe. Mkuu hizi spana unazowapiga ni hatari

Sema hawa false hopers wanapita kimya kimya humu wananisagia meno hatariii na maombi kibao hio jumamosi wanifunge .
Yaani sipati picha wanavyonisagia meno kwa hasira wakisubiri muujiza wa jumamosi .
 
Serving as England Super Cup umeona hii?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu soma tena hapo kuwa serving as super cup sio shida hatubishi ila be regarded as curtain raiser ndo imebeba maana nzima .

Tunaweza kukuita RAIS ila sasa tuna kuregard as RAIS WA MALOFA au WAJINGA still unaweza kushangilia kuwa mimi ni RAIS. Kweli??
 
Sema hawa false hopers wanapita kimya kimya humu wananisagia meno hatariii na maombi kibao hio jumamosi wanifunge .
Yaani sipati picha wanavyonisagia meno kwa hasira wakisubiri muujiza wa jumamosi .
Wanapita kama wanaaga maiti huku wanasonya😂😂.

👉Wanakwambia wana kikosi kipana ila jana baada ya ule moto akili zimeanza kuwakaa sawa😂😂

👉Watakwambia jana kimecheza kikosi B ila West Ham nao walipumzisha key playes wao pia so mzani ulibalance

👉Unawezaje kuwa tittle contender wakati kikosi B chako hakiwezi kukupa matokeo
 
Naomba kuuliza nafasi ya ngapi inasaidia nini kwa sasa?
Kuona hzi kelele zinazopigwa zinaakisi ubora na form ya timu at the moment au ni ngonjera.....samahani kwani na nyny ni wangapi sasahv🤠🤠🤠...chondechonde j3 mjitahidi hata mtoe draw tu na Spurs maana kushinda hamuwezi na kile kikundi chenu cha wafukuza upepo.... tutakuwa tyri tupo juu ya msimamo wa ligi...hatutaki kutoka tena
 
Hii ni Head To Head ya Arsenal na Nyukesto ila wewe bwana shamba unaamini tukikufunga tutakua tumekubahatisha? 😂😂😂😂

View attachment 2801775
Mi nashangaa mkuu....kwa h2h stats za miaka ya karibuni timu zitakazoweza kuja hmu na kusema timezibahatisha ni 2 tu Man City na Liverpool maana Hawa jamaa wametudunda sana kiukweli hivi karibuni....ila Nyukesto...sijui Chelkenge....sijui Manunu...inabidi wakae kimya....Hawa ni vijana wetu wadogo tunawatuma dukani mda wwte
 
Back
Top Bottom