Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Nyie kondoo si mliaminishwa kua bila Ziny Arse888 haiwezi kuoverload? Kama mnavyoaminishwa sasa bila Kai Arse888 haiwezi kuwin mipira ya juu. Na huwa mnaamini!!! Yaan nyie kondoo mnapelekwa pelekwa mpk huruma.
Kuna kama wawili watatu humu ndio naonaga zipo kamili huwa hawayumbishwi. Mmojawapo ni dadamlamayao.


dadamlamayao hua hakubali kuburuzwa kizembezembe, mara kibao humu hua anakua against na false hopes za wazee wa Supercomputer, huyu jamaa mimi nilishamtoa kwenye list ya misukule. Misimamo yake hua naikubali sana ila tatizo lake ni matusi tu, ila jamaa mpira anaujua.

The Red Side of London understand Martin Zubimendi to Arsenal is getting closer. #AFC

London Colney
| Arsenal training at London Colney