Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyo jesus mwenye mapaja mengi ana goli ngapi? Jipe hopes ni kawaida yenu nyinyi tena una bahati hayupo ungekula vinu vya kutosha hio jumamos
Wasamehe kidogo wapumue mkuu🙌😂 hizi spana unawapiga ni nzito mno. Makombora mengine yatunze kwa ajili ya J mosi ukishawabutua
 
Ushaanza kuandika kishabiki.

Sisi tulimkosa Guimaraes akaja kwenu kwa ajili ya nini? Isak akaja kwenu badala ya Arsenal kwa ajili ya nini?

Endelea na watu wengine wanaotaka miyeyusho

Nyinyi mlimkosa bruno au aliwakataaa huyo isak ndo kabisa kumbe mlikua mnamtaka pia , kuna mwenzako anasema ni mchezaji mwenye mapaja madogo .

Bruno katua Newcastle kwa €40M na salary 160000 tu huyo isak ni € 70M tu yaani sawa na hela ya kai havertz au pepe ni vile tofauti yenu na sisi nyinyi mmepigwa ila sisi ni real business. Mahahara wa isak ni 120000 tu.

Oil money bado haijaanza kutumika hapo
 
Unamalizana kabisa sio. Ila hizi spana ni nzito sana namuona masingeli hamis77 anapita kimya kimya anatamani ajibu mashambulizi

Hana cha kuwaambia wafuasi wake acha hili jukwaa tulitawale sisi kwa spana mwanzo mwisho.

Jana hio mashabiki wa westham wana chants kuhusu rice “ SIGN FOR A BIG CLUB, SIGNED FOR A BIG CLUB , YOU SHOULD HAVE SIGNED FOR A BIG CLUB “
 
Unakumbuka mashabiki wa Dortmund chant yao siku ile?
 
wanaweza wakanibahatisha hawa halafu nikakosa cha kusema acha tuwape vyuma kidonda bado cha moto hiki.
Hii ni Head To Head ya Arsenal na Nyukesto ila wewe bwana shamba unaamini tukikufunga tutakua tumekubahatisha? 😂😂😂😂

Screenshot_20231102-215612.png
 
H2H gani unnaleta hivi unajua hii Newcastle ndo ilisababisha arteta sauti ikaukeee au umesahau?? Katika game 3 za mwisho Arsenal kashinda 1 , Newcastle 1 na draw moja sasa wewe unajichagulia head 2 head zako.
 
Hana cha kuwaambia wafuasi wake acha hili jukwaa tulitawale sisi kwa spana mwanzo mwisho.

Jana hio mashabiki wa westham wana chants kuhusu rice “ SIGN FOR A BIG CLUB, SIGNED FOR A BIG CLUB , YOU SHOULD HAVE SIGNED FOR A BIG CLUB “
Ila hawa jamaa bado hawana team ya ubingwa. Kikosi ni kauke nikuvae bila Saka na Martinelli team inakua toothless. Jana wamebadili kikosi kidogo tu wamechezea fimbo 3

👉 Zincheko msimu uliopita alikua akisifiwa kuoverload ila msimu huu wanamponda

👉Mchezaji wao yule mbao aliyeumia wanamuhesabu kama key player. Huyo mbao(Timber) amecheza mechi 2 tu lakini anavyotajwa unaweza ukashangaa

👉Narudia kauli yangu, katika timu zote za top 4 Arsenane ndiyo kacheza mechi rahisi na ambazo baadhi kubwa amecheza amedondosha point kizembe. Maana yake tunategemea akicheza na team kubwa ataendelea kudondosha point nyingi zaidi kwa trend hii
 
Ila hawa jamaa bado hawana team ya ubingwa. Kikosi ni kauke nikuvae bila Saka na Martinelli team inakua toothless. Jana wamebadili kikosi kidogo tu wamechezea fimbo 3

Zincheko msimu uliopita alikua akisifiwa kuoverload ila msimu huu wanamponda

Mchezaji wao yule mbao aliyeumia wanamuhesabu kama key player. Huyo mbao(Timber) amecheza mechi 2 tu lakini anavyotajwa unaweza ukashangaa

Narudia kauli yangu, katika timu zote za top 4 Arsenane ndiyo kacheza mechi rahisi na ambazo baadhi kubwa amecheza amedondosha point kizembe
Mechi rahisi spurs,city,man u,chelsea we unasema mechi rahisi zipi hizo ? Uko sawa kwenye akili yako kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hawa jamaa bado hawana team ya ubingwa. Kikosi ni kauke nikuvae bila Saka na Martinelli team inakua toothless. Jana wamebadili kikosi kidogo tu wamechezea fimbo 3

Zincheko msimu uliopita alikua akisifiwa kuoverload ila msimu huu wanamponda

Mchezaji wao yule mbao aliyeumia wanamuhesabu kama key player. Huyo mbao(Timber) amecheza mechi 2 tu lakini anavyotajwa unaweza ukashangaa

Narudia kauli yangu, katika timu zote za top 4 Arsenane ndiyo kacheza mechi rahisi na ambazo baadhi kubwa amecheza amedondosha point kizembe. Maana yake tunategemea akicheza na team kubwa ataendelea kudondosha point nyingi zaidi kwa trend hii

Hamna team hapa subiri mpaka December imalizike ndo utajua hamna cha maana humu yaani jana humu wamemind kikosi kina viera, jorginho kai na wengine utafikiri sio team yao sasa sisi tuliochezesha kikosi cha 2 chote tuseme nini na bado tuna injuries kibaoo
 
Tulia maneno mengi wakati msimu huu hujachukua chochote na kuna uwezekano ukatoka patupu..

Sent using Jamii Forums mobile app

Uwezekano wa mimi kutoka patupu na wewe kutoka patupu upi ni mkubwa ? Kwanini wewe umeshinda kombe gani au emirates cup.
Unaongelea Newcastle iliyopo 1/4 ya carabao wewe upo wapi?? Na hapo katoka man city na man utd wewe umepewa westham ukafa pakiti nzima.
 
Sisi tuna FA community shield msimu huu wewe unayo? Hiyo carabao una hakika utamtoa chelsea na liverpool punguza maneno bro...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hawa jamaa bado hawana team ya ubingwa. Kikosi ni kauke nikuvae bila Saka na Martinelli team inakua toothless. Jana wamebadili kikosi kidogo tu wamechezea fimbo 3

Zincheko msimu uliopita alikua akisifiwa kuoverload ila msimu huu wanamponda

Mchezaji wao yule mbao aliyeumia wanamuhesabu kama key player. Huyo mbao(Timber) amecheza mechi 2 tu lakini anavyotajwa unaweza ukashangaa

Narudia kauli yangu, katika timu zote za top 4 Arsenane ndiyo kacheza mechi rahisi na ambazo baadhi kubwa amecheza amedondosha point kizembe. Maana yake tunategemea akicheza na team kubwa ataendelea kudondosha point nyingi zaidi kwa trend hii
Ubongo wako una fangasi sio bure
 
Back
Top Bottom