Kweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2007
- 1,152
- 302
Mzee wenger ndio kwanza amesisitiza tumecheza pungufu ya wachezaji wanane regular!! bado sio sababu ila naona huyu mzee inabidi apate msaada kwani muonekano wake leo alionekana kuchoka sana. wakati akina Fergie, Villa Boas, Mancini wamemaliza biashara, yeye anakosa usingizi kukamilisha dili za ubwete.
Yaani nimengalia highlights jinsi uzembe umefanyika siwezi kuamini. Magoli yote yanajieleza kwamba ni ukosefu wa uzoefu, tumegawa free-kicks za kizembe, hakuna kiongozi nyuma, madogo Jenkinson na Traore wamekosa back-up ya kuwasaidia, central backs ya Djourou na Konscielny ni mbovu kabisa, yaani huyu Konscienly nashindwa kumuelewa, mawasiliano yake mbovu, usomaji wake wa mchezo zero, yeye anajua hana pace na ni last deffender lakini kila mara unamkuta anacheza high line hadi amesababisha Jenkinson alimwe kadi. Tunahitaji uzoefu wa Cahill haraka amsaidie TV5 kuokoa huu msimu.