Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Udinese is much <<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<<than Man Utd.... A win Against udinese made him think we would win against this Young Utd....
 
papizo aseno hawawezi kupiga mbali huwa hawana uwezo huo
 
...together kama kawaida, naperuzi na kudadiz hapa kijijini ...ngoma nzito lakini safari bado ndefu
 
jambo la kubadilisha ni kuongeza middle field hapo kama Arsene ataweza kuuona mpira kwani mipira mbele haiendi kama anategemea kuingiza Chamak basi nitaongeza hesabu kuanzia saba na kuendelea
 
Walcott walau ameondoa gundu, goli letu la kwanza msimu huu.
 
Sipat picha Wachaboy uko aliko ana hali gan?, Mbu, Michelle...BBK et al.
 
Back
Top Bottom