Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
khe khe keeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee timu tuliyopanga ni sawa na timu mliyopanga mlipocheza na Marseille au wewe hupendi? Wacha fujo nenda kalale wenzio huku Alaska bado jua lipo.
Aibu!!!!!!!!!!
khe khe keeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee timu tuliyopanga ni sawa na timu mliyopanga mlipocheza na Marseille au wewe hupendi? Wacha fujo nenda kalale wenzio huku Alaska bado jua lipo.
Get serious, wachezaji wote mliopanga leo ni wachezaji wa Arsenal FC na wanalipwa mshahara kila wiki, timu tuliyopanga na Marseille ilikuwa na wachezaji wanne wa Man Utd ambao wote hawakurudi kipindi cha pili. Najua ni humiliating score line ila ndio soka mkuu.khe khe keeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee timu tuliyopanga ni sawa na timu mliyopanga mlipocheza na Marseille au wewe hupendi? Wacha fujo nenda kalale wenzio huku Alaska bado jua lipo.
Sasa mkuu hapo unaleta upofu yaani unafananisha charity match na EPL.....................Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeee.
Get serious, wachezaji wote mliopanga leo ni wachezaji wa Arsenal FC na wanalipwa mshahara kila wiki, timu tuliyopanga na Marseille ilikuwa na wachezaji wanne wa Man Utd ambao wote hawakurudi kipindi cha pili. Najua ni humiliating score line ila ndio soka mkuu.
Kati ya hizo timu tano mbili ni za north London....riot nyingine iko karibuni?
![]()
...<font color="#800000"><font size="4"><b>Hata mngefunga mia mnapata point ngapi? Mmecheza na wachezaji ambao ni chipukizi hata Fungie wenu kakiri hicho, ni nyinyi wanazi koko ndo mmekomalia kama mmepata ubingwa tayari, mlipotoa bahasha wachezaji wetu wafungiwe mlikuwa mnafikiri nini?</b></font></font>
upuuzi mtupu, kikosi weak si chenu.... nao pia ni wachezaji wa ass n' holeKikosi cha leo hiki hapa chini .... .... .... kama umemsikiliza Fungie kasema Arsenal team ilikuwa very weak .... .... ..
In your dreamWe will bounce back .... .... .... ... in Arsene we trust ... ....
in 1896Sio record Arsenal wameshapoteza kwa idadi hiyo hiyo before .... .. .
Wenger amesema jana kwamba wahusika wako busy kukamilisha masuala ya usajili na kuna mkutano wa excutive unaendelea leo ila sidhani kwamba tutasajili wale tunaoamini wataziba mapengo.juma 5 dirisha la usijili linafungwa mpaka sasa naona yule mkorea tu ndio kuna uwezekano.. wa kuja emarates
Alex frm Chelsea anaweza akasign Arsenal kabla ya keshojuma 5 dirisha la usijili linafungwa mpaka sasa naona yule mkorea tu ndio kuna uwezekano.. wa kuja emarates
Wenger amesema jana kwamba wahusika wako busy kukamilisha masuala ya usajili na kuna mkutano wa excutive unaendelea leo ila sidhani kwamba tutasajili wale tunaoamini wataziba mapengo.
Hata wao (bodi) naona wamehemewa na mashambulizi kila kona. Wachezaji quality wapo kibao sokoni usimsikilize Wenger ila tatizo mishahara yetu ni midogo ni vigumu kwa top players kukubali.
Aidha tutoke nje ya muundo na tukubali kulipa kama wengine ama tuendelee kuriski na kununua toka kwenye vijiligi vidogo-vidogo na nje ya Ulaya.