OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Hii arse8 mpaka sasa siyo timu ya kuleta challenge kwenye ligi, yani hata zimebaki mechi mbili mutangaze ubingwa bado mutapigwa tu. Hii timu kwa sasa ni kama Azam tu apa bongo au Spurs flani ivi yani siyo timu ya makombe hii.. kama munabisha tusubiri huu musimu uishe muone kaa mutabeba hata bakuli. Achilia ile shilingi mlobeba ile siyo kombe maana haina stage yeyote ile.
Hii clab kuja kubeba makombe labuda arsene wenger arudi. Hamna timu humu ni uozo ntupu, takataka kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
Hii clab kuja kubeba makombe labuda arsene wenger arudi. Hamna timu humu ni uozo ntupu, takataka kabisa🤣🤣🤣🤣🤣