Aah HapanaNext week tupo na Leeds ,anakuja Emirates
Another chance ya kuongeza points 3
Man City atakuwa na Liverpool , Liverpool akikaza ambatue au sare inatosha
Gepu la points liwe 10-11

sisi tutapigwa mkuu usitutegemee liva kabisaAah Hapanasisi tutapigwa mkuu usitutegemee liva kabisa
Ila ubingwa mnabeba tuu
Shukrani mkuu, nitamuangalia.. kitendo cha kusema ni mnyumbulifu kinatosha, mwili wake ulivyo anaonekana kuhitaji kuongeza nguvu tu.. napenda mchezaji akiwa mnyumbulifu.Wakubwa tunaposema tutaidominate hii ligi kwa miaka 10+ tunamaanisha
Kuna balaa hili hapa dogo anaitwa Charlie Patino yupo Blackpool kwa mkopo
Anacheza CM(LCM) nafasi ya Granit Xhaka
Unyumbulifu
Tackling
One touch football
Press resistant
Tight spaces
Long balls
Interception
Kama atarudi msimu ujao sehemu ya kuimprove ni physicality tu
Naweza kum-rate huyu ahead of Vieira (Maoni yangu)
Kama tukimpata Caicedo/Rice tukaongeza RW na RB naona tutaenda kuchallenge UEFA next season
makaveli10 ukipata muda mfatilie huyuView attachment 2564677
HAKIKAArsenal bingwa wa UEFA champions league 22/23
DHAHIRI SHAHIRIArsenal bingwa wa UEFA champions league 22/23
Jikazen City akikutana na timu yenye watu wanaoweza kwenda mbele tu anatobokaAah Hapanasisi tutapigwa mkuu usitutegemee liva kabisa
Ila ubingwa mnabeba huu
Labda kwa vile yupo physical maana akiwa na mpira hua ni mgumu kumpokonyaHuyo Zubimendi akiacha wenge la kutamani kwenda Barca ni Partey mweupe na mdogo.
Huyu Rice akija Arsenal atahitaji robo msimu au nusu msimu kutoa anachotoa Partey. Mchezaji mwingine ambaye watu naona wanamuimba ila hamna kitu ni Rafael Leao
Nakubaliana na wewe ,Rice atahitaji msimu mzima apikwe , ila nasikia Rice anatakiwa eneo la Xhaka , kwa Partey Ni Romeo Lavia , Caicedo au ZubimendHuyo Zubimendi akiacha wenge la kutamani kwenda Barca ni Partey mweupe na mdogo.
Huyu Rice akija Arsenal atahitaji robo msimu au nusu msimu kutoa anachotoa Partey. Mchezaji mwingine ambaye watu naona wanamuimba ila hamna kitu ni Rafael Leao
Alitaka kumvunja kabisa ,Baada ya janja janja za Pep kufake injury ya Haaland kuelekea mechi za kimataifa, sasa wachezaji wa City wamepewa maelekezo mengine ya kuwaumiza wachezaji wetu.
Martin Odegaard was LUCKY to escape a fateful injury after a horrible tackle from Rodri last night!
View attachment 2566250
View attachment 2566243
Si kweli, Declan Rice is what we need, tukimkosa tutakuwa sawa kama Vile kumkosa Mudryk / Vlahovic lakini ukweli unabaki tumekosa mchezaji mzuri anyefit kwenye mfumo wetu, some players are better than others and they perform more than one roles, Rice is that guy. Ni kiungo pekee walau anayeonekana kufanya kazi ya Sergio Bosquet kwa sasa kwenye eneo lake. Rice ni destroyer km vile Arteta anavyomtumia partey, lakini anafanya zaidi ya role hiyo sababu ni tempo controller (Xavi Hernandez).Huyo Zubimendi akiacha wenge la kutamani kwenda Barca ni Partey mweupe na mdogo.
Huyu Rice akija Arsenal atahitaji robo msimu au nusu msimu kutoa anachotoa Partey. Mchezaji mwingine ambaye watu naona wanamuimba ila hamna kitu ni Rafael Leao
Mchezaji chipukizi wa Arsenal Charlie Patino anaonesha kiwango kizuri kwa mkopo katika klabu ya Blackpool na anaweza kupandishwa kwenye kikosi cha kwanza msimu ujao, kulingana na mwanahabari Tom Canton. Patino tayari ameshaichezea Arsenal mara mbili katika kikosi cha kwanza, akifunga bao lake la kwanza kwenye Kombe la EFL.Mkuu ikatokea tuna uwezo wa kumchukua Rice au Zubimendi halafu tukamchukua Rice itabidi tusubiri hadi aive. Mfano sasa hivi ukimuangalia Zubimendi unaona ni kiungo ambaye anakupa anachokupa Partey instantly ila Rice bado anatakiwa kumaster game na kama unavutiwa na Busquet basi utaelewa kwanini Barca pia wanamtaka Zubimendi.Si kweli, Declan Rice is what we need, tukimkosa tutakuwa sawa kama Vile kumkosa Mudryk / Vlahovic lakini ukweli unabaki tumekosa mchezaji mzuri anyefit kwenye mfumo wetu, some players are better than others and they perform more than one roles, Rice is that guy. Ni kiungo pekee walau anayeonekana kufanya kazi ya Sergio Bosquet kwa sasa kwenye eneo lake. Rice ni destroyer km vile Arteta anavyomtumia partey, lakini anafanya zaidi ya role hiyo sababu ni tempo controller (Xavi Hernandez).
Partey alikuja km box to box mid, muda mwingi alikuwa attracted to the ball, vitu km #6 ambaye anafanya progression, ball carrying wakati mfumo unahitaji namba sita ku stick. Hii ni sababu ilimchukua muda ku master nafasi yake na mwenyewe ali admit, lakini haya matatizo si miongoni mwa matatizo ya Rice, ndio maana nakataa kuwa haiwezi kumchukua muda kuelewa nini afanye under Mikel. Declan Rice is a disciplined #6. The exception of the game.
uzi mweusi ni hatari sidhani kama tutatoa uzi mkali kama ule hivi karibuni2023/2024 KitsView attachment 2566717