Green Koryo
JF-Expert Member
- Jul 6, 2022
- 616
- 1,143
Kuona mamluki wakijazana humu kwenye jukwaa letu kunaashiria ukubwa tulionao, mechi imeisha sare lakini wapinzani wanahesabu tumefungwa.
Mpaka mashabiki wa Chelsea wameliacha jukwaa lao likiwa tupu na kuhamia huku.
Wakiongozwa na timu nyengine zote ikiwemo Man Utd, Man City, Spurs na Liverpool.
Na hapo hatujafungwa!
Sasa naamini kweli Arsenal inawaumiza watu wengi.
Arsenal haimizi watu wala nini ila zile uharo wenu na matokeo yenu ya mezani ndiyo inafanya watu tunapiga kambi hapa[emoji23][emoji23][emoji23]