BONNIE GOLD
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 485
- 960
Tawile chambuzi. Haupingwi humu.Umeangalia game moja ili kupata hitimisho? [emoji23][emoji23]
And no mimi siyo mchambuzi au chambuzi.
Angalia tarehe ya hiyo comment. Kisha chukua stats zake kuanzia anaanza mpira mpaka siku hiyo.
Halafu chukua za siku hiyo mpaka leo.
Fananisha na hype.
Mnabeba treble mwaka huu