Bottomline Arsenals needs more players.Hivi tranfser window closed tayari?
tunapigwa wiki??????? hiii aibu kuuuuuuuuuuuu
Hii inaweza kumsaidia Wenger kufanya maamuzi haraka sana kabla ya jumatano sio mambo ya kusubiri mpaka last minute.
tunapigwa wiki??????? hiii aibu kuuuuuuuuuuuu
Inabidi tujipe pole tu!!
Wenger anadhalilisha Soccer!!
Kavua nini???hahaha........kazi ipo kuna shabiki hapa kavua hhaha.