Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Aibu,aibu,aibu!Na magoli yako mengi bado,wangetakiwa na wao angalau wafunge.
 
mchezaji ambaye yupo kunduni ambaye hachezi na pengo lake linaonekana wazi wazi na limekuwa exposed leo ni Alex Song
 
....tumezidiwa kila idara, balaa...

Cum on arsenal
 
Nina wasiwasi kwamba hawa watoto wanafanya mgomo.

Without doubt ninaweza kusema kwamba hawa wachezaji hawamtaki Arsene Wenger.

Kama anafahamu hilo ni lazima afikirie juu ya nafasi yake ya umeneja wa Arsenal.

For the first time in 20 years of being an Arsenal fan, I see this as unacceptable.
 
Back
Top Bottom