Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

tatizo la hawa aseno hawataki kupeana pasi.....hata kama mtu yuko namfasi mbaya analazimisha kupiga tu
 
dah.........man wnakosa bao la wazi lilikuwa la nne ila wamkosa.....
 
Arsenal inaweza kutoa sare game hili.

Arshavin na Van Persie wanatakiwa wajaribu mashuti ya mbali yenye lengo.
 
Wenger anataka kuongeza speed ya mchezo, amemwingiza Alex Chamberlain
 
Back
Top Bottom