Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu Wenger amewanunua akina Koscelny na Chamakh wa kazi gani? Hatutaki tena wachezaji kukamilisha idadi tu, imefika wakati anunue uzoefu hata kama ni bei mbaya, hii leo ni aibu tosha. Ndio tuna masuspension na majeruhi lakini hakuna kisingizio cha kufungwa mabao 7 hata Dar young Africa hawawezi kufungwa hivi, naamini hata swansea wakija hapa old trafford hawawezi kufungwa namna hii.
Aidha Wenger anunue sasa ama aondoke. Hakuna jinsi nyengine.

hahaaa aondoke aende wapi wakati ndo kishafika hapo..yaani huyo angekuwa Chelsea leo tayari kishatupiwa virago....timu linamiminiwa magoli kama kinesi cup bana
 
Hawa Man si nao wafanye kuyeyusha kidogo kha..wanataka mpaka zifike kumi?.
 
rooney anawavua wanaume wa rosegarden shanga livee!!!!du mpira auna adabu kabisa kabisa
 
Wenger inaonekana mbishi sana,sijui kwasababu anazungumza lugha saba?Lol!
 
kwaherini jaman...mimi na mke wangu na mwanetu blanca tunaondoka uwanjani.......ni kelele kwa kenda mbele.......poleni wana aseno.....
 
Duh hawa jamaa leo wametutia vidole kwenye masaburi.

May be arsenal needed to the worst deafeat at the start of the season ili tuweze kuwa na the best finish at the end of the season

Poleni sana mashabiki wenzangu wa washika bunduki.
 
Me leo nitalala vizuri......ila poleni sana gunners na last time kupigwa nane lini jamani????jamani mtakufa na pressure la sivyo ameni timu tu
 
Back
Top Bottom