Kama anacheza rafu za kiseng* why not red card?Wenger orphans jikazeni acheni kulilia mtu apate umeme ni dalili ya kutojiamini.
but haishangaziAnahangaika jesus tu yaniMbele tupo butu sanabut haishangazi
Na upande wa nyuma una kila dalili ya kuwazawadia city goal litalotokana na back pass.Mbele tupo butu sanabut haishangazi
Mbele tupo butu sanabut haishangazi
Mpira upi ?hiyo Citizen tumemfunga mwisho lini kwenye EPL tumesahau dk 45 hatuna on targetTuweke ushabiki pembeni leo.
Arteta kaitoa hii timu mbali sana kwa huu mpira mnacheza na Citizen.

Uyo dogo sinawahi muelewaSasa Pale nketiah kufanya nn yaani anajiona offside lakini anachukua mpira..![]()
Nimezungumza kama shabiki wa LFC mkuu. Arsenal imeimprove sio ile ya miaka mi2 nyuma.Mpira upi ?hiyo Citizen tumemfunga mwisho lini kwenye EPL tumesahau
Wajinga watoto hawa, kitu pekee wanaliliaga ni penalt na red card. Cheza mpira ushinde kihalali.Wenger orphans jikazeni acheni kulilia mtu apate umeme ni dalili ya kutojiamini.
Kwani Arsenal na city wanakutana epl tuMpira upi ?hiyo Citizen tumemfunga mwisho lini kwenye EPL tumesahau dk 45 hatuna on target
Itakuaje kama kumuharakisha mechi ya leo ikamsababishia majeraha yatakayomuweka nje kwa muda mrefu??? Kipi boraBora Martinelli aliyetoka Majeruhi angeanza tu licha hana match fitness kuliko Mbahatishaji Nketiah anaweza score mechi 3 mfululizo then anaenda 10 games mfululizo hajascore