Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpira haujaisha , magoli tumefungwa sababu ya uzembe na uzoefu mdogo wa mabeki, ndio tunalia Wenger asajili mabeki wazoefu, pamoja na yote we have nothing to loose now, nahisi tunaweza kupata japo mabao mawili ila na sisi huku nyuma sidhani kama hesabu ndio imekwisha.
 
Arsenal wanatakiwa waspend pesa,Wenger aache ujinga.Tizama sasa Chicharito huyo licha ya Welback kuumia,hawana shida,na pengine chicharito atafunga ili kutaka kupreserve nafasi ambayo Welbeck ameichukua kwa muda sasa.
Ukiangalia bench la Arsenal ni vichekesho!
 
Wenger inabidi aachie ngazi, haiwezekani anawatesa washabiki namna hii...

...I beg to differ mkuu, he needs to correct his mistakes. He is still the right man for Arsenal, but needs to sort out his problems sooner than later...!!
 
I said so,nasikitikakusema kuwa wanaweza kulimwa goli tano leo.Man U ni a very young team,full of energy,kama wasipofight back watalimwa na kuwa embarassed.
....

Kwa hali ilivyo nakubaliana nawe kuwa leo inaweza kuwa kama man City Vs T'ham..... Sisi tutasimama kama T'ham... Total humiliation........
 
Jenkinson nae amebahatika kupata yellow tu, alikuwa defender wa mwisho pale....why not red?!!!!!!!
 
msimu uliopita walikosa nafasi shauri ya back ilikuwa mbovu na jeuri eti hakuna beki nzuri inayoizidi Arsenal
Mimi unazi unaanza kuondoka hii board ya Arsenal ina umuhimu wa kuondoka
Goli la Tatu bado matatu baada ya half time
 
wachezaji wa mbele wa Man wanakwenda wanavyotaka.aseno haina ukuta leo
 
Back
Top Bottom