Asante mkuu maana huku tuko gizani....katavi ni half time
Heshima mbele wakuu, Mbu, Kunta, Manda, Richard, Balantanda, Wenge Musica na wengine, sina hiyana nanyi, nawajua nyie waungwana...Miye
Usongo ninao na Almoontazir Almunia Wacha..bingwa wa kelele mingi....je kwasaWacha umejificha wapi leo? Au bado uko kanisani ukiomba? Maana hata kama ulikwenda MSikitini au ndio wapata futari...ni kilio....
<br />
<br />
Mkuu unaniumiza kwa kucheka hahah...sasa hivi ni half time
Dakika ya ngapi wakuu??