Mbili mara hii.....basi ni balaa!!....leo tuna kazi wakuu, cha 2 mara hii!!
Arsenal wameshapigwa??? Huku TANESCO wamefanya mambo...
<br />Leo nahisi tutafanywa ile kitu Tots wamefanywa!!!
<br />Mbili mara hii.....basi ni balaa!!
that was nice dive by Walcott
Ahahahaaaah!! Kalaptop kangu nako kanaelekea kuisha chaji....!!Bora ukalale mkuu uchukue matokeo baadae la sivyo utapatwa na hasira ukapiga kibatari/mshumaa teke uunguze nyumba yako.
Wenger hivi kwa hiki kikosi alikuwa anategema miracle au?