Wandugu Masanja
JF-Expert Member
- Apr 26, 2008
- 1,584
- 553
Manu goalkeeper ni mbovu tena sana hapo watachemsha msimu huu hakuna suala, timu inayoonekana mwaka huu ni Liverpool na Manchester City ndizo zilizofanya vizuri
Mkuu nilikuambia....je umeniamini? hii siyo Arsenal ile ya mwaka 96-2005Dah.. Bado chicharito ana lake,..
Nani kafunga??aseno kapata moja
Upo Old Traford au mbwembwe zako tu!!kuna ashabiki wa aseno hapa uwanjani wameshaanza kumwabia wenger aiondoke....
Jenkinson nae amebahatika kupata yellow tu, alikuwa defender wa mwisho pale....why not red?!!!!!!!
Arseno umesahau..watakuwa mabingwa mwaka uu..Manu goalkeeper ni mbovu tena sana hapo watachemsha msimu huu hakuna suala, timu inayoonekana mwaka huu ni Liverpool na Manchester City ndizo zilizofanya vizuri
<br />kuna ashabiki wa aseno hapa uwanjani wameshaanza kumwabia wenger aiondoke....
<br />Dakika ya ngapi wakuu??
Hamna noma mkuu , bado tunajipanga.
Upo Old Traford au mbwembwe zako tu!!