Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

BREAKING:

Jurriën Timber is recovering well and is expected to be back between February and March.

Reports, @iesabah.
20231002_212202.jpg
 
Hvi vitimu vidogovidogo....sijui kina Brentford sijui Bournemouth sijui kina Man U sijui Chelkenge....vitapata tabu sana msimu huu kucheza na arsenal....vinaanza na moto mwingiii...ikifika dakika ya 15 wanakata moto....tunaanza kutoa shule ya bolu Sasa....tunakufunga huku tunakufundisha namna ya kucheza bolu
Mbona Liverpool hujaisema?
 
Mbona Liverpool hujaisema?
Liverpool ukitoa safu Yao Bora ya ushambuliaji ,bado wana Midfield yakawaida ,inayoruhusu kupitika Sana

Sijui mechi gani kwakweli hawajatobolewa
 
Ligi ina mechi 38 na ndio kwanza tumecheza mechi 7 tu, kwenye hizo mechi 31 tegemeeni surprise za kutosha.
Ligi ndio kwanza mbichi, nyie endeleeni kupeana false hopes halafu mwisho wa msimu mkimbie jukwaa.
 
Manjesta mwaka huu mtachezea vichapo Sana ,Kama huna kocha wakueleweka usitegemee miujiza na surprise ,

Huna timu huna kocha , unasubiri surprise

Bado Zama hizi mnataka kushinda kwa kupiga ramli ?

Hiyo bahati mlipata last season, mechi nyingi ilikuwa JINI KATOKA MGANGA HOI

Safari hii mkileta utani ,Round ya kwanza mechi 19 mtakusanya point 20

Mechi ndio zinaenda hivo ,soon utakutana na kina Liverpool, Newcastle , Astonvilla,city , wanakulamba na majeruhi wanaingezeka

Ndipo mtakapoita maji MMA
 
Sio majeruhi tu, na wanyanyasaji wa wanawake.
 
Arteta on Saka:

“He’s fine. He’s much better. It was a big knock but he has recovered well and trained with us today”
 
Arsenal scouting team needs evaluation, what did they in Murdryk as to consider paying £80m for his services?
Namuangalia hapa Sioni mchezaji
mzee Arsenal waliona potential , believe me yule dogo alienda Chelsea kwa mtutu wa bunduki

Haiwezekani apambane vile kuja Arsenal gafla aende Chelsea , hata picha ziliongea

Yule alipelekwa pale kwa mtutu wa bunduki na escort ya vifaru ili Ukraine ipewe msaada wa £25m

Moyo wake haupo pale ,akili haipo pale
 
Arteta on Thomas Partey :

“He’s a big player and we know what he brings to the team. He knows exactly what we need and with the injuries we had to other players in midfield and at the back he complements us in a great way and gives us options. So it’s great to have him back again.”
 
Partey kasafiri na timu kwenda Ufaransa kwa mechi ya kesho na atapata dakika chache za kucheza
 
Mikel Arteta confirms: “Thomas has progressed really well in the last two weeks. He’s training with us now”.

There’s a chance for him to play some minutes in UCL tomorrow, not 100% decided yet. But he’s definitely back.
 
Back
Top Bottom