Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Spurs ni wazuri kucheza hasa kwenye build up phase, lakini wakishaingia kwenye 2nd phase ya kushambulia na kwenye ku execute bado hawako sawa.

Timu inacheza pungufu for almost 70 mins plus red card 2 baadae but still wana recycle mpira nje ya box.

Kama sio Matip kujifunga, basi wangecheza hata dk 120 na wasingeweza kushinda.
 
VAR ina ajenda gani, kila nikiangalia goli la Diaz naona alikuwa ONSIDE..
Msimu uliopita ilitunyonga sisi.
Msimu Liverpool anachukua kombe alipewa goli la offside nadhani ilikuwa game na west ham sijui, sina hakika.
 
VAR ina ajenda gani, kila nikiangalia goli la Diaz naona alikuwa ONSIDE..
Msimu uliopita ilitunyonga sisi.
Msimu Liverpool anachukua kombe alipewa goli la offside nadhani ilikuwa game na west ham sijui, sina hakika.


goal la halali kabisa lilikuwa!
 

Attachments

  • 1696107823479.jpg
    1696107823479.jpg
    55.5 KB · Views: 3
Martinell out

Troussard out

Jesus LW

Why not Nelson???
Jesus ana threat pia akicheza pembeni kama LW.

Uwezo wake wa kudribble, kuhold mipira na kuwapunguza mabeki nahisi ndio unamfanya Arteta ampe nafasi ya kutokea wide.

Nelson ni mzuri lakini kwa uwezo wake anahitaji aingie kwenye kikosi taratibu, japo Arteta hafanyi hivyo kwa Kai (jokes😄).

Ngoja tuendelee kumuona kwenye Carabao, a-prove kama anahitaji kuanza kikosi cha kwanza.
 
City kafa

Nyumbu kafa
Nyie Kima timu kubwa zote jana zimefungwa, kama umekaona katimu kako jana kameshinda basi jipige kifuani mara tatu kisha useme sisi ni Mid Table Team(MTT)
FA jana waliweka mtego kwa timu zinazotakiwa kuingia top4 msimu huu lazima zidondoshe 3points, mlivyokua na akili mbuzi mkashindwa hata kusanuka, Akili mtu wangu sio kila kitu mpaka mfundishwe darasani.
tapatalk_-1903479182_400x600.jpg
 
Kwa ninavyoona performance ya Raya, ni dhahiri Ramsdale anaenda kumuachia no. 1 spot.

Raya anatishia amani aisee, anapiga mipasi kama hana akili nzuri.

Huwa ananifurahisha zaidi akienda kucheza mipira ya juu.. nyiee!🙌
View attachment 2767987
Anachokifanya Raya kwenye hizi mechi nne mashabiki wa United wamekisubiri kwa onana kwa miaka 8
 
Back
Top Bottom