hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Raya anacheza Kama beki wakatiKwa ninavyoona performance ya Raya, ni dhahiri Ramsdale anaenda kumuachia no. 1 spot.
Raya anatishia amani aisee, anapiga mipasi kama hana akili nzuri.
Huwa ananifurahisha zaidi akienda kucheza mipira ya juu.. nyiee![emoji119]
View attachment 2767987