mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 8,695
- 19,545
Hapa nikasema kimoyo moyo, Ramsdale kazi anayo[emoji116]Haya ni Mageuzi ya Football so ni au Ubadilike au utabaki unashabikia Kitu ambacho hujui unashabikia nini [emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]
Golikipa David RAYA hapo ni left sided Center back Arsenal inapojenga Shambulizi
Gabriel MAGALHAES anatoka kuwa Center back anakuwa Left Back
Alexander ZINCHENKO anatoka kuwa Left Back, anakuwa Kiungo pembeni ya Declan Rice
Mzee wa jambia View attachment 2769999