Leo mtu na kaka yake wte wamekandwa🤠🤠🤠....tumeshapanda mpk nafasi ya pili...mwezi wa 12 utatupa majibu...maji na mafuta yatakuwa yamejitengaManjesta wakipigwa huwa nafurahi Sana
Acha uganga ndugu, wameipata ?Tamaa mbaya, Bournemouth draw tu inatosha
Hvi vitimu vidogovidogo....sijui kina Brentford sijui Bournemouth sijui kina Man U sijui Chelkenge....vitapata tabu sana msimu huu kucheza na arsenal....vinaanza na moto mwingiii...ikifika dakika ya 15 wanakata moto....tunaanza kutoa shule ya bolu Sasa....tunakufunga huku tunakufundisha namna ya kucheza bolu🤠🤠Acha uganga ndugu, wameipata ?
KAI ni mchezaji wa kawaida sana,niliwahi kuandika humu kwamba ili afikishe magoli angalau matano basi inabidi kila Penati awe anapewa yeye,zaidi ya hapo ni Mtumishi Hewa pale hana jipya analoliongeza,ni mzigo kama mizigo mingine tuNaona swala la Kai kufunga penati halizungumziwi kabisa. Flano na genge lake sijui wako wapi?!
![]()
Nan ana Delusional Hadi Sasa?Laugh at man city...??? Delusional
To do list today:
-Laugh at Man Utd
-Laugh at either Spurs or Liverpool
-Laugh at Man City
-Celebrate Arsenal win against Bournemouth
-Smith Rowe masterclass incoming
We will be there
Ni mawazo/maoni yako, naheshimu.KAI ni mchezaji wa kawaida sana,niliwahi kuandika humu kwamba ili afikishe magoli angalau matano basi inabidi kila Penati awe anapewa yeye,zaidi ya hapo ni Mtumishi Hewa pale hana jipya analoliongeza,ni mzigo kama mizigo mingine tu
Waki draw Liver na Spurs wte tunawacheka tu....leo inabidi mmoja wao ashinde...tubaki wawili tu ambao hatujafungwa mpk Sasa🤠🤠🤠🤠Bado kimoja , weekend iishe vzr

Labda zitokee individual error Kama ile ya JoJoUkimuona Raya golini ujue clean sheet uhakika!
Na uzuri wake makipa wetu wote wapo vizuriLabda zitokee individual error Kama ile ya JoJo
Beki ikifanya Kaz yake ,huyu jamaa ataokota Cleansheet nyingi sana


