Charlz ze son conscious
JF-Expert Member
- Aug 22, 2019
- 563
- 856
Mnavyo mtetea utasema kinda la miaka 18 ndio linajitafutaHadi sasa kitu anachonikera Kai ni kuwa na kama low confidence akiwa na mpira, hauwezi ukamuona anapiga penetration pass kama Fabio Viera.
Lakini mwangalieni vizuri tunapokuwa tunashambuliwa au wanagombea mipira (hasa ya juu, jinsi anavyowin kirahisi), utagundua kimtindo flani Kai ameimprove workrate yake. Kaangalie Tena marudio ya game iliyopita alafu ujiulize Tena kwa workrate ile kusema ni mtumishi hewa ni sawa?



#jokes
Atacheza Kama Winger asilia 

