Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dah mashabiki wamempigia kura Kai ya MOT?[emoji1787][emoji1787]

Nimependa hii sapoti

Nani alisikia ule wimbo alikuwa anaimbiwa Kai wa wakawaka

Waka waka, eh, eh,
£60M down the drain,
Kai Havertz scores again

[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]View attachment 2768500
Mmeona hafungi anazurura tu uwanjani ikabidi mumpe penalt.
 
Dah mashabiki wamempigia kura Kai ya MOT?[emoji1787][emoji1787]

Nimependa hii sapoti

Nani alisikia ule wimbo alikuwa anaimbiwa Kai wa wakawaka

Waka waka, eh, eh,
£60M down the drain,
Kai Havertz scores again

[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]View attachment 2768500
Hivi player of the match anapigiwa kura?
 
Dah mashabiki wamempigia kura Kai ya MOT?[emoji1787][emoji1787]

Nimependa hii sapoti

Nani alisikia ule wimbo alikuwa anaimbiwa Kai wa wakawaka

Waka waka, eh, eh,
£60M down the drain,
Kai Havertz scores again

[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]View attachment 2768500
Huyu labda awe anafunga Penati tu,zaidi ya hapo hana jipya,ni Mtumishi Hewa
 
[emoji599][emoji599]Declan Rice and Thomas Partey Will be Available for selection against Manchester City next
IMG-20231001-WA0022.jpg
 
Vitu tunavyopenda kusikia hivi🤠🤠🤠...halafu ndugu zetu Liverpool kama nimesikia mechi ijayo wanacheza na Brighton 🤠🤠
Na Brighton walivyo unpredictable, utashangaa hiyo game wanabadilika linapigwa boli hatari.

Msimu uliopita Liverpool hawakupata point hata moja kwa Brighton, na walikutana mara 3.. kwenye ligi mara 2 na FA/EFL mara 1.

Brighton aliondoka na alama 6 kwenye ligi na ushindi kwenye cup.
 
nafikiri nelson kutokupata dk nyingi uwanjani mbele ya jesus licha ya kuumia kwa trossard na martinelli ni energy ya kupambna..

ile role inataka uwe na nishati ya kutosha mda wote mana ni upande unaokuwa upo isolated sana mara nyingi wkt wa mechi.
 
Nimepata taarifa mashabiki wanajiandaa kulipigia kura goli la Kai Kama Goli Bora la mwezi kwa Arsenal [emoji1787][emoji1787]
Sanchez alipotua unyumbuni hayakuoita ata masaa 6, alimuambia wakala wake wakatengue mkataba arudi zake the Gunner

Arsenal is a big lovable family, real meaning of home sweat home
 
Havertz kufunga bao ilikua ni hamu ya kila mchezaji na mtu ndani ya Club ya Arsenal na hilo limeonekana baada ya Post yake Instagram ambayo ilijibiwa na wachezaji pamoja na viongozi wa Arsenal kwa furaha na kuonesha imani kubwa kwake.

#Umoja [emoji1434]

20231001_192736.jpg
 
View attachment 2769026
Huyu ni MTUMISHI HEWA tu anakula Mshahara wa bure,hana impact yoyote kwenye Timu hivyo awepo au asiwepo ni SAWA tu,huyu ndio inatakiwa AUMIE awe nje hata msimu mzima hakuna shida,ni UHARO tu kama MIHARO mingine
 
Hili ndo tatizo kuangalia mpira kwa kukariri, unaposema Kai ni mtumishi hewa unamaanisha nini?

Hadi sasa Kai bado hajawa vizuri miguuni akipokea mpira kama wenzake (anacheza kawaida siyo vibaya, wala sio vizuri), lakini defensively Kai ana mchango mkubwa kuliko Viera.

Wa kumuweka Kai benchi ni hadi Partey apone, namba yake acheze Declan Rice, au kwa mechi zisizo hitaji physicality kubwa, acheze Fabio Viera
 
Namaanisha hana mchango wowote kwenye Timu zaidi ya kurukaruka tu
 
Hadi sasa kitu anachonikera Kai ni kuwa na kama low confidence akiwa na mpira, hauwezi ukamuona anapiga penetration pass kama Fabio Viera.

Lakini mwangalieni vizuri tunapokuwa tunashambuliwa au wanagombea mipira (hasa ya juu, jinsi anavyowin kirahisi), utagundua kimtindo flani Kai ameimprove workrate yake. Kaangalie Tena marudio ya game iliyopita alafu ujiulize Tena kwa workrate ile kusema ni mtumishi hewa ni sawa?
 
Tunahitaj sana striker kuliko chochote kwa sasa jesus arud winga ya kulia asaidiane na saka naona ana balaa zaid huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom