Goli la kizembe Djourou na Koscielny wepesi namna hii?
Arsenal wameshapigwa??? Huku TANESCO wamefanya mambo...La kwanza hilo...hyo bek yenu kama ya Mji Mpwapwa...naona mnashika matama vijana.
Van persie penati gani hile sasa? mpaka penati tunapiga kwa uoga?
<br />that was nice dive by Walcott