Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Huyu Welbeck nadhani ataweka historia hapo Man U.He is young but thinks big.Very talented.He is full of energy halafu siyo selfish.Mechi ile vs Totenham alidhihirisha yote hayo.
 
Mimi sina wasiwasi nafahamu huu ni msimu mgumu sana ila lolote linawezekana.

Hapa Tripoli jamaa wa TNC bado wanazungumza na wazee wa Mji wa Sirte ambako Gaddafi amezaliwa ili waweze kuingia kwenye mji huo.

Internet inafanya kazi na bomba la mafuta ambalo linatambaa hadi Italy nao limekwishatengezwa na hawa jamaa.

Jamaa hawa wametangaza majina ya mawaziri ambao wataanza kazi rasmi leo na ni mwanamke mmoja tu yumo humo anaitwa Salwa Fawzi el-Deghali ambae anatoka mji wa Benghazi.

Mkuu ndio presha zishaanza kupanda nini!!
 
Arsenal leo inaingia Old Trafford ikiwa na uhaba wa wachezaji tegemeo saba.

Gervinho, Alex Song, Jack Wilshere, Kieran Gibbs, Emmanuel Frimpong, Abou Diaby na Laurent Koscielny.

Sasa sijui itakuwaje!

mkuu usijali.. ni soccer mpira unadunda ila reffer akiwa Howard webb ... tuhesabu tushafungwa! jamaa ni mnazi wa man UTD ...



HUYU REFA! NAOMBA ASIWE YEYE

howard-webb_1886372c.jpg



sina imani na huyu refa siku zote!!! ni mnazi wa man utd mbaya!
 
Kwa refarii huyu Webb na hawa Mannure wameanza kupayuka, tuombe Mungu tu, labda ataona aibu kwa vile kila mtu anajuwa kwamba ni mnazi wa ManU kwa nini wanampanga?
 
Mshambuliaji Park Chu-Young yupo mjini London akimalizia uchunguzi wa afya yake au Medical.


Nahodha wa South Korea Park Chu-Young ambae alikuwa akichezea Monaco ya France, ambae Wenger amekubali itumike paundi milioni 10.
 
Nimewaambia Welback will score.Sijui nani wa Arsenal atafanya hivyo.Nadhani Arsenal should brace for more to come.
 
Chwa kwanza hicho.....naona kocha anatikisa kichwa.....hahahah
 
Back
Top Bottom