Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Timu zinazoweza kupangwa leo:

Arsenal: Szczęsny, Jenkinson, Koscielny, Vermaelen, Sagna; Djourou, Rosicky, Ramsey, Arshavin, Walcott; Van Persie.

Man United: De Gea, Smalling, Jones, Evans, Evra; Nani, Anderson, Cleverley, Young; Rooney, Welbeck.
 
Mimi sina wasiwasi nafahamu huu ni msimu mgumu sana ila lolote linawezekana.

Hapa Tripoli jamaa wa TNC bado wanazungumza na wazee wa Mji wa Sirte ambako Gaddafi amezaliwa ili waweze kuingia kwenye mji huo.

Internet inafanya kazi na bomba la mafuta ambalo linatambaa hadi Italy nao limekwishatengezwa na hawa jamaa.
Sasa mkuu ukisikia kuchanganyikiwa kwenyewe ndiyo huku! sisi hapa tunadiscuss mambo ya Arsenal na game yetu ya leo
wewe unatuletea habari ya Libya na waasi. Ndiyo maana nikasema hii timu imefanya baadhi ya watu wachanganyikiwe ikiwemo wewe.
Anyway hata hivyo ahsante kwa kutujuza habari za Libya. Je wewe uko upande wa waasi au dictator Gadaffi?
:msela:
 
Lakini sasa mkuu hao wachezaji watapatikana lini na days zinaisha hivyo??na ina maana mkisema kwamba mbaki na hicho hicho kikosi je kuna uwezekano wa kumaliza top 4??

Sasa Wenger kesho atakuwa ameshikilia mwenyewe kitabu chake cha hundi. Anakwenda mwenyewe kuzungumza na David Moyes meneja wa Everton kwamba anamhitaji Mikael Arteta ambae ni midfieder kwa kuwapa Nicklas Bendtner.

mikel-arteta_1982680c.jpg

Mikael Arteta.

Hio inaitwa swap deal.
Mchezaji mshambuliaji wa Monaco ya France Park Chu-Young
yupo London akimalizia medical yake baada ya Wenger kuwasiliana na Monaco ambako aliwahi kufundisha juu ya mchezaji huyo. Inaelezwa

Halafu baadae atakwenda kuzungumza na Bolton na kumalizana juu ya Garry Cahil ambapo Bolton wanataka kuuza ila wanataka milioni 17 paundi. Wenger anasema anataka kuwapa 15 milioni ikijumuisha mambo mengine kama namba na mechi atakazocheza Gary.

Gary+Cahill-Bolton++cropped

Gary Cahil anataka kuchezea Arsenal.

Watu wanafahamu kwamba Arsenal msimu huu wa usajili imekusanya milioni 70 kutokana na kuuza wachezaji wake kwahio ni lazima wagharamie.
 
Aminia mkuu pole pole tu kila kitu kitaeleweka ila ndio siku zimebakia chache sana kwenu na pressure juu ili kuweza kukamilisha kila kitu.....
 
Arsenals needs to spend more money on new world class players,ama ni kazi ya kocha kujua what pieces are missing.Man U imekamilika.Na Sir Alex unaweza kuona usajili wake ni kama amenoa jambia.Yani ameongezea makali.Wellbeck,Ashley Young ni mfano tu.Ila wellbeck ni lazima afunge.Who will for Arsenals?
 
Aminia mkuu pole pole tu kila kitu kitaeleweka ila ndio siku zimebakia chache sana kwenu na pressure juu ili kuweza kukamilisha kila kitu.....

Mkuu mimi ni Arsenal.

Ukiwa mpenzi wa timu huwezi kushawishika na ushauri kama huo wa kwako.

Mimi ni mpenzi wa Arsenal kwa miaka 20 sasa.
 
Hamna shaka kabisa na naamini kwa vile kocha ni mzoefu wa haya mambo basi ataweka tu mambo sawa,yeah pia nilitoa ushauri coz naona pressure kwenu ipo juu sana ndio maana....
 
Team news:
------------------------------------------Sczeny---------------------------------------------------------
----------------Jenkison-------Djouro ------------Koscielny-----------------Traore-------------------
------------------------Coquelin---------------Ramsey-----------Rosicky---------------------
------------Walcoltt----------------------------------------------------Arshavin---------------------------
---------------------------------------RVP-------------------------------------------------------------------
 
Leo Arsenal icheza na mtindo wa 4-3-3 ambapo Van Persie Arshavin na Walcott watakuwa mbele na beki dogo Coquelin ana kazi kweli ya kumdhibiti Wellbeck.

Man U tunajua watacheza na mtindo wa 4-4-2 yaani Rooney na Wellbeck mbele.
 
Team news:
------------------------------------------Sczeny---------------------------------------------------------
----------------Jenkison-------Djouro ------------Koscielny-----------------Traore-------------------
------------------------Coquelin---------------Ramsey-----------Rosicky---------------------
------------Walcoltt----------------------------------------------------Arshavin---------------------------
---------------------------------------RVP-------------------------------------------------------------------

Kocha kweli anazeeka vibaya,Vermaelen na sagna nje duu sio mchezo
 
Sagna ame-tweet kwamba ana virus na leo ameamka na homa kwahio hakuweza kupangwa. Vermaelen nae aliumia kwenye mechi na Udinese.
 
Team news:
------------------------------------------Sczeny---------------------------------------------------------
----------------Jenkison-------Djouro ------------Koscielny-----------------Traore-------------------
------------------------Coquelin---------------Ramsey-----------Rosicky---------------------
------------Walcoltt----------------------------------------------------Arshavin---------------------------
---------------------------------------RVP-------------------------------------------------------------------

Mmh!! kwa kikosi hiki.....sijui!!
 
Arsenal hawana utajiri wa wachezaji,kukosekana kwa kwa Song lazima pengo litakuwa kubwa sana,Anderson,Nani na Cleverly have no match.
 
Sasa Wenger kesho atakuwa ameshikilia mwenyewe kitabu chake cha hundi. Anakwenda mwenyewe kuzungumza na David Moyes meneja wa Everton kwamba anamhitaji Mikael Arteta ambae ni midfieder kwa kuwapa Nicklas Bendtner.

mikel-arteta_1982680c.jpg

Mikael Arteta.

Hio inaitwa swap deal.
Mchezaji mshambuliaji wa Monaco ya France Park Chu-Young
yupo London akimalizia medical yake baada ya Wenger kuwasiliana na Monaco ambako aliwahi kufundisha juu ya mchezaji huyo. Inaelezwa

Halafu baadae atakwenda kuzungumza na Bolton na kumalizana juu ya Garry Cahil ambapo Bolton wanataka kuuza ila wanataka milioni 17 paundi. Wenger anasema anataka kuwapa 15 milioni ikijumuisha mambo mengine kama namba na mechi atakazocheza Gary.

Gary+Cahill-Bolton++cropped

Gary Cahil anataka kuchezea Arsenal.

Watu wanafahamu kwamba Arsenal msimu huu wa usajili imekusanya milioni 70 kutokana na kuuza wachezaji wake kwahio ni lazima wagharamie.

Wakija hawa kidogo presha itapungua.....Wenger sijui anazifanyia nini pesa alizouza wachezaji??
 
Back
Top Bottom