Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ni lini mara y mwisho umechukua point6 kwa arsenal kama haijapita miaka5 sijui mtu anaetupa mtihan wa kupata ushindi ni city pekee nyumbu wengn wote either mshangilie ushindi wa favour z marefa au sare....haka ka ushindi utakajutia nakwambia
Uliona mbali Sana ,lile bonanza liliwadanganya Wana timu
 
Naamka muda huu hata penalties pia tumepigwa?ohhhhh kweli nyumbu kapiga kila sehemu ya mshono
Unapenda kupinga pinga tulikwambia na manyumbu wenzio lile lilikuwa bonanza tu umeona mechi hapo Emirates hao nyumbu hata kusogelea goli la Arsenal ilikuwa shida
 
Unapenda kuropoka uwe na akiba ya maneno
 
watu asee
 

Katika hawa wachezaji ambao uliwaita takataka Ni wawili tu hawakuingia kikosi cha kwanza Hadi Sasa
Chelsea yako iliyosajili wachezaji wazuri inahangaika tu
 
Ogopa Mungu na technologia
 
Unapenda kuropoka uwe na akiba ya maneno
Kumbuka nyumbu Emirates huwa anakufa na Arsenal kushinda na kubeba 3 points haikuwa jambo jipya but jambo kubwa ni kubeba 3 points Old Trafford so tusubiri hyo game brother au wewe ni mgeni kwenye football?hamu kubwa ni Arsenal kupata 3 points this season hapo katika games almost 10 za old Trafford tumeshinda 1 so na shauku sana ya kushinda hapo ni kama nyumbu katika game 7 za Emirates hajashinda hata 1
 
Haya matokeo naona yanafaida kubwa kuliko hasara
Timu haiuzwi
Timu kumbe tayari imekamilika, no ins

Kwenye Epl nyumu asipopigwa doz (3) na arsenal Basi niulizwe Mii, shida ni Nini?
Hii ni comment baada ya nyumbu kupewa Ushindi na arsenal kipindi Cha pre season
 
Hapa ndio namuheshimu Arteta wachezaji ambao uliwaita takataka 80% wapo first eleven ya Arsenal
 
Brother KAI NI MZIGO ana anachelewesha ushindi wa Arsenal this season na linaonekana kabisa suala hili PERIOD!
 
Cheki huyu
 
Tena miongoni mwa makocha waliotumia pesa nyingi kwenye usajili na huyo jamaa yupo, pesa alipewa kubwa tu, hana kisingizio chochote zaidi ya kuprove failure.
Hapa Arteta alikuwa katumia £140m tu cheki hii fanbase ilivyokuwa inaropoka Leo ten hag katumia £400m wanasema shida Ni Grazzer family
 
Yaani hii £140m aliyopewa Arteta iliwatoa roho Sana
Leo ETH kapewa £400m madirisha mawili mnasema Grazzer wabaya
 
Wewe jamaa uliona mbali japo nketiah bado lakin ana potential kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…