Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
SHABIKI wa Manchester United mjini Eldoret, nchini Kenya, Thomas Kiptanui Kemboi, maarufu Kapkeno amekimbizwa hospitalini baada ya kujaribu kula trei la mayai ya kuchemsha, baada ya kuwekeana dau (ku-bet) na marafiki zake ambao ni mashabiki wa Arsenal.
Kapkeno aliweka dau la kula trei nzima ya mayai ya kuchemsha iwapo Man United wangeshindwa na Arsenal, na waliposhindwa ilibidi atimize ahadi.
Kapkeno aliweka dau la kula trei nzima ya mayai ya kuchemsha iwapo Man United wangeshindwa na Arsenal, na waliposhindwa ilibidi atimize ahadi.