Sidhan kama ni kweli Kai anapoteza Sana mipira , accuracy yake ya pass sio mbaya Sana ,pia ndiye mchezaji anaye cover au aliyekimbia Sana kwa Arsenal takwimu zinasema hivo ,
Kai alifanikiwa UCL hasa EPL kipind Cha Tuchel bado hakufanya vzr Sana, pale chelsea wamebadilishwa makocha wengi kwa kipind kifupi , sidhan Kama Kuna mchezaji katoka Chelsea hii iliyovurugika ame settle , Tena Kama ukienda timu isiyo na mfumo rasmi ndio unapotea mazima,
Ila unakumbuka Øde alikuja kwa mkopo miezi 6 Arsenal ,hakufanya chochote , Partey pia alikaa karibu miezi 6 ndio akaanza kucheza vzr ,zipo interview Partey anasema kabisa amekuwa akivurunda, had January 2020/21 Kama sikosei ndio Partey alianza kucheza vzr
Kai mechi 4 tunataka kumkatia tamaa ?
Nilifatilia kwanini Arteta alimsajili Kai ,nikagundua sababu anaamini atamsaidia kwenye False 9 akihitaji kumtumia hapo like vs Mancity , sababu tukiweka ushabiki na chuki ,unapotaja false 9 wanaojua kupress Kuna Jesus ,Kai hawachoki na Wana press kwa Akili , lakin tulikuwa hatuna CF wa kucheza mipira ya juu tukihitaji hivo, ndio sababu ya kumnunua Kai ,
Lakin kumtumia Kama LCM, hapa ndio anahitaji muda hata mechi 20 ndio ataanza kucheza vzr ,uzuri Kuna maeneo hayamsumbui Kama movement anapotakiwa kurudi chini ,kwenda kushambulia ndio maana unamuona anakosa hata magoli ,anaongeza namba ya viungo ,
Tatizo lake anacheza kwa pressure,