Hawa jamaa leo nikuwakanda kisawasawa
#mufc XI vs Arsenal: Onana, Wan-Bissaka, Lindelöf, Martínez, Dalot, Casemiro, Eriksen, Antony, Bruno, Rashford, Martial
Subs: Bayındır, Reguilón, Maguire, Evans, Gore, Hannibal, Garnacho, Højlund
Hakuna haja kukimbilia kutuma vikosi na kujiita una source nyeti wakati umekosea halafu unakuwa mbishi,acha ujuajiMbona kama una Jambo lako moyoni kuhusu mimi aisee
Take your time asee
Unafanya mapenzi mchana ..wewe ushatia gundu lazima mupigweAiseeNilikuwa bize na shemeji yako ili ninaposhangilia magoli Leo niwe mwepesi
Usiwe na mategemeo makubwa sana rafiki Arsenal yetu ya msimu kama imenistua haiko kama msimi uliopita ni kama hatutishi Arteta anatuvurugaHawa jamaa leo nikuwakanda kisawasawa
#mufc XI vs Arsenal: Onana, Wan-Bissaka, Lindelöf, Martínez, Dalot, Casemiro, Eriksen, Antony, Bruno, Rashford, Martial
Subs: Bayındır, Reguilón, Maguire, Evans, Gore, Hannibal, Garnacho, Højlund
Jamaa alikosea bhn... na akarekebisha mze. Mbona unaendeleza ubishi manHakuna haja kukimbilia kutuma vikosi na kujiita una source nyeti wakati umekosea halafu unakuwa mbishi,acha ujuaji
Sio ubishi,yeye ndio alikana kwamba hakuna mahali kamuweka Jesus wakati alimuwekaJamaa alikosea bhn... na akarekebisha mze. Mbona unaendeleza ubishi man
aache ujuaji kujifanya eti ana source nyeti
Hamis na ujanja ujanja wake kakamatwa tena😂😂Hapo ulimuweka JesusView attachment 2737716
Anajifanya mjuuuuuji,eti ana source nyeti,khaaaaaHamis na ujanja ujanja wake kakamatwa tena![]()
😅😅amerekebisha tayari manSio ubishi,yeye ndio alikana kwamba hakuna mahali kamuweka Jesus wakati alimuwekaaache ujuaji kujifanya eti ana source nyeti
![]()
Arteta's ego is something else!
Yani last game kwa jinsi Fabio alivyoperform tulitegemea leo anaanza.. dah!
Haya bhana, ila tumefurahi amerudi kwenye mfumo tuliouzoea.
Ni muda wa kuenjoy game sasa!
Fabio ni super subArteta's ego is something else!
Yani last game kwa jinsi Fabio alivyoperform tulitegemea leo anaanza.. dah!
Haya bhana, ila tumefurahi amerudi kwenye mfumo tuliouzoea.
Ni muda wa kuenjoy game sasa!