Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Imebidi niweke wallpaper ,, wakuu.
Ingawa Asenyali siwakubali.
Screenshot_20230906_113315_One UI Home.jpg
 
Nimeumia sana kufungwa na Wenger orphans aise sina raha huku street kabisa.
View attachment 2739785
jukwaa lao sasa hivi amani imetamalaki, yaani kila nikitaka kuingia humu nikizikumbuka zile goli 3 nafsi inakua nzito sana aiseeee, tena ule mgoli wa Jesus ndio unakata maini kabisa.
Hawa Kima wakija OT lazima tuwatapishe goli zasizo pungua 6 mbuzi hawa maana sasa hivi naona washaanza kutuzoea kila msimu tunagawana points tu.

#ArseVAR
#Arsenyo Ndoo
#Kai Kiatu
 
Sisi tunazingua sana. Nyie si wakuawana points na sisi. Tunapaswa kupata 6 kutoka kwenu kama tunavyochota kw Chelkenge. Ila yule mhuni Rashidi Makame, sijui kwenye mkataba wake mnamuongezea milioni moja kila akitufunga? Ana ishu gani na sisi yule mpemba?
 
jukwaa lao sasa hivi amani imetamalaki, yaani kila nikitaka kuingia humu nikizikumbuka zile goli 3 nafsi inakua nzito sana aiseeee, tena ule mgoli wa Jesus ndio unakata maini kabisa.
Hawa Kima wakija OT lazima tuwatapishe goli zasizo pungua 6 mbuzi hawa maana sasa hivi naona washaanza kutuzoea kila msimu tunagawana points tu.

#ArseVAR
#Arsenyo Ndoo
#Kai Kiatu
Msimu huu mjiandae kutema points 6

Tulifanya uzembe Sana last season kutobeba point 6 kwenu

Kwa mpira mliocheza pale OT ,kiungo Lokonga ,ndio mechi nilithibitisha Ten hag ni kocha tapeli
 
James Benge😛epe ameshindwa kuendana na mfumo wa Arteta

"ninaweza kukuorodhesha takriban wachezaji sita katika akademi ya Arsenal ambao Arteta angechagua kabla ya Pepe,"

"Kutokana na kile nilichosikia, mshahara alioomba mwezi Julai, au wawakilishi wake waliomba, ulikuwa kinyume na chochote angeweza kupata kutoka kwa klabu za Saudi Arabia. Ingekuwa ongezeko kubwa la mishahara kuliko alnachopata Arsenal.

*"Wao (Saudi) walimpinga kwamba maisha yake ya soka yamekwenda vibaya, tangu ajiunge na Arsenal, hiyo ina maana kwamba labda si mchezaji ambaye Arsenal walilipa pauni milioni 72 na kumpa sehemu nzuri zaidi ya pauni 200,000 kwa wiki."

@charles_watts YT kupitia HITC)
 
| @PaulMerse on Kai Havertz:

“I feel for Kai Havertz. He’s playing in a position where it’s not easy. He hasn’t played very well. Mikel Arteta will stick with him. He’s low on confidence but Arsenal have won three and drawn one.”

“You’ve paid that money and put yourself out there to go and get him. The cream rises to the top. I’m a big fan but I did say when he got signed, he has got that look of Mesut Ozil about him.”

“That’s the problem. If it isn’t going well, he doesn’t look too interested. That’s not the case – it just comes across like that.”(sky via tbr)
 
Je wajua Ni Timu mbili tu zilifanikiwa kumiliki Mpira Emirates msimu uliopita ?

United had 45% possession at the Emirates at the weekend, for context last season:

Newcastle 33%
Spurs 35% (down to 10 men after 60 mins)
Man City 36%
United 43%
Chelsea 45%

The only away teams to dominate possession at the Emirates were Liverpool (56%) and Brighton (59%)
 
| @PaulMerse on Kai Havertz:

“I feel for Kai Havertz. He’s playing in a position where it’s not easy. He hasn’t played very well. Mikel Arteta will stick with him. He’s low on confidence but Arsenal have won three and drawn one.”

“You’ve paid that money and put yourself out there to go and get him. The cream rises to the top. I’m a big fan but I did say when he got signed, he has got that look of Mesut Ozil about him.”

“That’s the problem. If it isn’t going well, he doesn’t look too interested. That’s not the case – it just comes across like that.”(sky via tbr)
Hivi Waarabu si waje walichukue hilo garasa Harvetz??
 
jukwaa lao sasa hivi amani imetamalaki, yaani kila nikitaka kuingia humu nikizikumbuka zile goli 3 nafsi inakua nzito sana aiseeee, tena ule mgoli wa Jesus ndio unakata maini kabisa.
Hawa Kima wakija OT lazima tuwatapishe goli zasizo pungua 6 mbuzi hawa maana sasa hivi naona washaanza kutuzoea kila msimu tunagawana points tu.

#ArseVAR
#Arsenyo Ndoo
#Kai Kiatu
Kwa kikosi gani cha kutufunga goli sita mlichonacho🤠🤠...msipomaliza matatizo yenu ya kutoweza kumiliki Mpira na kusubiri kaunta tu....hakyanani mechi ijayo mna Brighton mkuu...mtatema ndoano...kule kwa livakuku mkienda na hyu kipa wenu shati na swaga zake hzi...hakyanani mkuu tutakuja kuwapa pole kwa fedheha mtakayoipata...maana nyny na livakuku mna ugomvi ule wa asili kabisa na ndo maana wale mabwana kuwafunga hata kumi haitakuwa tabu kwao🤠🤠🤠
 
Kwa kikosi gani cha kutufunga goli sita mlichonacho...msipomaliza matatizo yenu ya kutoweza kumiliki Mpira na kusubiri kaunta tu....hakyanani mechi ijayo mna Brighton mkuu...mtatema ndoano...kule kwa livakuku mkienda na hyu kipa wenu shati na swaga zake hzi...hakyanani mkuu tutakuja kuwapa pole kwa fedheha mtakayoipata...maana nyny na livakuku mna ugomvi ule wa asili kabisa na ndo maana wale mabwana kuwafunga hata kumi haitakuwa tabu kwao
Acha kuwatisha
 
Acha kuwatisha
Hmu hatutishani tunaambiana Hali halisi mkuu🤠🤠🤠....arsenal wakikufunga goli Tano basi siku hyo ww ni more than poor kwny uchezaji wako ila Yale ma Liverkuku huwa Yana roho Fulani mbaya sana....Sasa Hawa ndugu zetu na lile shati lao pale golini....sijui itakuwaje
 
Partey nje wiki 6

Kutoka kwa Mwandishi Sami Mokbel81

Arsenal hope to have midfielder Thomas Partey back after October international break. Set to miss at least six weeks with groin/thigh injury. Story:
January pia atakosekana week kadhaa sababu ya afcon
 
Kwa kikosi gani cha kutufunga goli sita mlichonacho...msipomaliza matatizo yenu ya kutoweza kumiliki Mpira na kusubiri kaunta tu....hakyanani mechi ijayo mna Brighton mkuu...mtatema ndoano...kule kwa livakuku mkienda na hyu kipa wenu shati na swaga zake hzi...hakyanani mkuu tutakuja kuwapa pole kwa fedheha mtakayoipata...maana nyny na livakuku mna ugomvi ule wa asili kabisa na ndo maana wale mabwana kuwafunga hata kumi haitakuwa tabu kwao
Onana Ni kipa mzuri ila kwa timu based possession,kwa timu hizi za kuvizia kaunta atachezea Sana fimbo

Maana watakuwa wanamuacha apige pass zake wakinasa Wana posses anakula fimbo

Thus why 7hag sijawahi muelewa namfananisha na daktari anayefanya surgery ya kichwa kwa mgonjwa wa miguu

20230906_193721.jpg
 
Back
Top Bottom