Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

This is 2020

Tunatembelea vipigo watu wamekimbia jukwaa na hapa ni member akielezea
Mkuu, sijajua upo na point ipi inayofanya ufukue makaburi.

Ila ninalojua, hata mkibaki wawili humu jukwaani, haimaanishi wengine wamecha kuisapoti Arsenal.

Tupo mtaani kila siku, kila games za Arsenal tunaangalia. Tunafurahi tunaposhinda, tunaumia tunapofungwa.

Msijipe umuhimu sana kwa kuwa mpo active humu. You and me, we are just fans tuu mkuu.

Wadau, watoe mawazo tofauti tofauti bila kutishwa.

cc Flano
 
kikubwa kuwe na uhuru wa kutoa maoni sio watu wachache wajimilikishe jukwaa, pia members wajitahidi kukubaliana katika kutokukubaliana, humu kila mtu ana mawazo tofauti kulingana na upeo wake, unapolazimisha members wote wakubaliane na hoja zako ndio kunapelekea mgawanyo, chuki, kudharauliana na kuanza kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu.
Pia members wajitahidi kuheshimu mawazo ya wenzao hata kama wanatofautiana kwenye mitazamo, mtu umemkosoa mara moja, mbili lakini bado anang'ang'ania msimamo wake achana nae endelea kujadiliana na wale ambao mitazamo yenu inafanana, haina haja ya kumuita mtu majina mabaya kisa tu mnatofautiana kwenye jambo moja.
Nyinyi kama mashabiki ya Shenalii mnapohitilafiana katika jambo moja juweni kuna mambo 100 yanayowaunganisha, sasa kwa nini hilo jambo moja mnalo tofautiana mnalipa nguvu ya kuwatenganisha kuliko yale 100 yanayowaunganisha?

Huu ni ushauri tu kutoka Unyumbuni lakini haimaanishi jioni tutawasamehe, kipigo chenu leo jioni kiko palepale Kima nyie

1690622282148.jpg
 
kikubwa kuwe na uhuru wa kutoa maoni sio watu wachache wajimilikishe jukwaa, pia members wajitahidi kukubaliana katika kutokukubaliana, humu kila mtu ana mawazo tofauti kulingana na upeo wake, unapolazimisha members wote wakubaliane na hoja zako ndio kunapelekea mgawanyo, chuki, kudharauliana na kuanza kutukanana wenyewe kwa wenyewe humu.
Pia members wajitahidi kuheshimu mawazo ya wenzao hata kama wanatofautiana kwenye mitazamo, mtu umemkosoa mara moja, mbili lakini bado anang'ang'ania msimamo wake achana nae endelea kujadiliana na wale ambao mitazamo yenu inafanana, haina haja ya kumuita mtu majina mabaya kisa tu mnatofautiana kwenye jambo moja.
Nyinyi kama mashabiki ya Shenalii mnapohitilafiana katika jambo moja juweni kuna mambo 100 yanayowaunganisha, sasa kwa nini hilo jambo moja linalowatenganisha mnalipa nguvu kuliko yale 100 yanayowaunganisha?

Huu ni ushauri tu kutoka Unyumbuni lakini kipigo chenu leo jioni kiko palepale

View attachment 2737556
Nyumbu uliekomaa katika ubora wako

Chuma kuanzia 3 zipo pale pale, saka anaweka mawili
 
Mkuu, sijajua upo na point ipi inayofanya ufukue makaburi.

Ila ninalojua, hata mkibaki wawili humu jukwaani, haimaanishi wengine wamecha kuisapoti Arsenal.

Tupo mtaani kila siku, kila games za Arsenal tunaangalia. Tunafurahi tunaposhinda, tunaumia tunapofungwa.

Msijipe umuhimu sana kwa kuwa mpo active humu. You and me, we are just fans tuu mkuu.

Wadau, watoe mawazo tofauti tofauti bila kutishwa.

cc Flano
Ungeishia kuniuliza ningekupa jibu kisha ungehukumu.

Sijatoa jibu umekimbilia kuhukumu

Ukipata sehemu yoyote nikibeza ushabiki wa member yeyote wa Arsenal nionyeshe hapa.

Mfano niwe nimemuita shabiki feki au kumuambia atuachie timu.

Nionyeshe. Halafu ukishakosa nipe same challenge uone wakina nani wanajimilikisha hili jukwaa.
 
Wenger orphans leo nikulia na kusaga meno hamis77 ukwapi uchelewi kukimbia jukwaa wewe.

Tutacheka sana Leo hapa aise
1692194363957.jpg
 
Guys wanna arsenal tunahitaji positive energy,tunahitaji kuisupport club kwenye hali zote,ma swala ya kuisema vibaya kila saa timu ,muda wote tunaona ubaya tu wa timu ayo mambo tuwaachie kina Flano na wengine hiyo ndio kazi yako hapa na wanalichangamsha jukwaa.

Kuna watu humu ni wanarsenal ila muda wote wanaleta negative energy kitu kibaya chochote kinachuhusu timu mtu akisema wao ndio wanalike na kuquote,kizuri wanaongea kwa unyonge na wakati mwingine hawakoment kabisa.Tujitaidi kuendelea kummunga mkono hamis77 huyu jamaa ndio anachangamsha group pia yupo positive sana kuhusu timu yetu,kumuunga mkono mchezaji au kocha haimaanishi hawana mapungufu ila ni kwa sababu unatakiwa kuunga mkono kitu chako,na kwenye kutoa maoni ya kurekebisha inaruhusiwa bila kunyong'onyeza morali ya funs wezanko,yuko mtu kama toobiter huyu jamaa huwa anatoa maoni yake hata kama ni tofauti lakini unajua kabisa haisemi vibaya timu yetu.wote tunajua kazi nzuri anayofanya hamis77 kutuletea habari moto moto za timu yetu kiasi kwamba uzi wa arsenal unakuwa busy muda wote mpaka rahaa.

Let us support our team mambo ya kukuosa sana tuwaachie timu zingine,leo tuna mechi muhimu sana tupeane positive energy namna ambayo tunaweza kumkalisha man united,na tunapaswa kuwaje kiwanjani ili tuwe bora zaidi.sio tukisha shinda shabiki wa arsenal aje hapa kuanza kusema mnafurahia kuifunga united iliyojichokea.tujifunze kuifurahia timu yetu na kuikosa kwa staa,mambo ya banta,tuwaachie wapinzani wetu.

LEO ARSENAL LAAZMA TUSHINDEEEEEEEEE
 
Breaking Arsenal line up vs United #COYG #AFC

Ramsdale
White
Gabriel
Saliba
Zinchenko
Rice
Havertz
Odegaard
Saka
Nketiah
Martinelli
 
Manchester United’s starting XI today:

Onana; Wan bissaka, Lindelöf, Martinez, Dalot; Casemiro, Eriksen, Bruno; Anthony, Rashford, Martial.

[via @tonanesthetic].

#ARSMUN
 
Arsenal should be destroying that Manchester United defence today. At least 3 past it.
 
Breaking Arsenal line up vs United #COYG #AFC

Ramsdale
White
Gabriel
Saliba
Zinchenko
Rice
Havertz
Odegaard
Saka
Jesus
Martinelli
Kama hii ndio lineup, Ngoja tuone kama Zinny ataweza saidia huu upande wa kushoto
 
Arsenal should be destroying that Manchester United defence today. At least 3 past it.
Nimejikuta nabubujikwa na machozi ya furaha baada ya kukuona tena humu ndugu yangu hamis77
Baada ya ukimya wako tokea asubuhi nikajua tayari umeshakula kona mapema kabla halijawakuta jambo saa 06:30
 
Breaking Arsenal line up vs United #COYG #AFC

Ramsdale
White
Gabriel
Saliba
Zinchenko
Rice
Havertz
Odegaard
Saka
Jesus
Martinelli
Mkuu unapataje kikosi mapema yote hii

Partey Yuko wapi?
 
Back
Top Bottom