Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hii mechi tutakuwa na shida sana defensively,yaani kuna zaidi ya mtu mmoja wanaohitajika kusaidiwa defensively.
Upande wa zinchenko na kai tuombe mungu.kwa wings za hawa jamaa na kama watafanikiwa kuwa na intensity kubwa basi kuna mahali tutateseka.


Very positive naamini game tutashinda japo kwa mateso.

#arsenal NDOO
#nketiah kiatu
 
#COYG
#ArsenalNDOO

mpira mkubwa, pira biliani mtu anakula chuma kuanzia 3

Kai na odegard hii kazi ndio wataimaliza

Mipira ya juu, mipira iliyokufa, Kai

R.i.p nyumbu
 
Arteta's ego is something else!

Yani last game kwa jinsi Fabio alivyoperform tulitegemea leo anaanza.. dah!

Haya bhana, ila tumefurahi amerudi kwenye mfumo tuliouzoea.

Ni muda wa kuenjoy game sasa!
Anataka kuprove haendeshwi na mashabiki Sasa hiyo jeuri ndio Itatucost. Sahivi tuna mabeki 6 pekee ilihali Zinny na Tomi ni wagonjwa muda wote so Kuna wakati tutakua hatuna sub za defence kabisa.

Yaani huyu kocha anavuruga mfumo uliomfikisha alipo
 
Back
Top Bottom