Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Baada ya Pepe kwenda uturuki ,wote Sasa wameondoka
20230908_082836.jpg
 
Pépé was a quality player and a dedicated teammate. He didn’t fit the model, was brought in under an unstructured regime, it he was never unprofessional. Created some beautiful moments. Contributed often. It didn’t work out, and that’s ok. But wtf man. Merci Nico. Bon chance!
20230908_061942.jpg
 
Fans wa Arsenal hatukuwa na tabia ya kuwapa presha wachezaji, tumeiga kwa manjesta na Chelsea, hasa manjesta

Tumewavumilia wachezaji mizigo wengi Sana, had waliposhindikana tukanyoosha mikono

Pepe mwenyewe bado had kesho Kuna fans wa Arsenal wanaamini anastahili kupewa muda au 2nd Chance

Kwa Pepe mm ni mmojawapo wa waliokuwa wanamkubali
 
Mark my word Mkorea

Kai ukitoa kutojiamini hasa kukosa magoli , majukumu mengine anatimiza vzr sio Sana na sio vibaya ,
Hofu yangu ni ule mshahara anaokunja Kai
At the moment yeye ndio most paid player pale arsenal

Je Hii haitaleta shida katika dressing room?

Unakumbuka Nketiah alivyozinguana na Cebalos kipindi yupo kwetu kwa mkopo?
 
Pepe amefeli Kwenye mfumo wa Arteta

Nicolas Pepe's 2020/21 season...

️ 16 goals
6 assists

Arsenal Player of the Season: 2nd place
 
Kwasasa Arsenal Ni family,ngumu mchezaji kuinuka kuchafua Hali ya hewa ,ataondolewa mapema Sana ,

Kumbuka Mikel ananguvu Sana kwenye klabu ,

Bodi ilitaka kumtetea Auba abaki, Lakini mwisho walishindwa
 
Pepe amefeli Kwenye mfumo wa Arteta

Nicolas Pepe's 2020/21 season...

️ 16 goals
6 assists

Arsenal Player of the Season: 2nd place
Afadhali ya Pepe,huyu Kai hatafunga hata Goli Tano,labda kila Penati itakayopatikana awe anapewa yeye,zaidi ya hapo ni Mtumishi hewa,ni AIBU kuwa the highest paid na upuuzi anaofanya Uwanjani,anakula Mshahara wa bure tu,ni mzigo kama furushi la maparachichi
 
Kwa ushindi ule wa papatu papatu Beki babu Evans mnashangilia? Mkija OT hamtoki
Papatupapatu Tena

Dk 100 umepiga shot on target 2 tu , Kona 3

Pass 200+ mmcheza kwenye eneo la backline

Mtego wenu wakutaka tumpress onana mpige kaunta tunaujua ,mna mentality ya timu ndogo

Mwaka Jana mlisema Casemiro hakuwepo

Juz mnasema Evans ,Kwan hujui Lisandro Martinez alifeki majeruhi awahi national team,huyo Evans sikasajiliwa na 7hag au amejileta hapo manjesta

Wachezaji wenu hawana pumzi ya kustahimili msako kwa dk 100

Msimu huu tunataka points 6 ,kwa timu ambazo haziwezi kukaa na mpira Ni aibu kutobeba points 6

20230905_173433.jpg
 
Afadhali ya Pepe,huyu Kai hatafunga hata Goli Tano,labda kila Penati itakayopatikana awe anapewa yeye,zaidi ya hapo ni Mtumishi hewa,ni AIBU kuwa the highest paid na upuuzi anaofanya Uwanjani,anakula Mshahara wa bure tu,ni mzigo kama furushi la maparachichi
Mwanangu asee ,muache Kai unamuandama Sana
 
We hauoni kama wana Role mbili tofauti.. me nashangaa wanaomlaumu kai . Mnataka acheze kama namba 9 au
Afadhali ya Pepe,huyu Kai hatafunga hata Goli Tano,labda kila Penati itakayopatikana awe anapewa yeye,zaidi ya hapo ni Mtumishi hewa,ni AIBU kuwa the highest paid na upuuzi anaofanya Uwanjani,anakula Mshahara wa bure tu,ni mzigo kama furushi la maparachich
 
Hata kama ni role tofauti lakini Kai hajitumi,hebu angalia jinsi Ode anavyohaha Uwanja mzima,lakini Kai hata akiwa na Mpira mashabiki roho juu kwamba atatoa pasi vizuri maana muda wowote ni maboko tu!!!na kumbuka huyo ni mzoefu wa EPL sio mgeni,yule kama kucheza awe anaingia dakika za 75 huko na hapo tuwe na uhakika tunaongoza kwa magoli angalau 2,zaidi ya hapo ni mzigo tu,anawanyonya sana wenzake,kwangu ni MATUMIZI mabaya kumchezesha Kai uwanjani tena dakika 80 wakati nje kuna kina Smith Rowe,Neilson, Viera,Trossad nk
 
Hapo umesema ukweli. Na mimi nakwambia kuwa Kai siyo m bovu ni vile tu bado hajaingia kwenye mfumo. Kwa hyo nakubaliana na wewe kuwa Kai hatakiwi kuanza kabisa kwenye game yoyote ya EPL au UCL
 
Back
Top Bottom