makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,852
- 103,974
Nakunga mkono, Lile ni shambuliaji la mpira,Maguire 10Hag ni anakosea kumchezesha kwenye nafasi si yake, Maguire anafaa zaidi akicheza CF, yaani akisimama pale mbele ni Haaland Mtupu.
Nakunga mkono, Lile ni shambuliaji la mpira,Maguire 10Hag ni anakosea kumchezesha kwenye nafasi si yake, Maguire anafaa zaidi akicheza CF, yaani akisimama pale mbele ni Haaland Mtupu.
Ila hakuwa na baya..😂
Goli la odergad ni zuri ila la jesus ni zuri zaidi.Katika magoli ya leo, lipi ni goli zuri zaidi.
👉Odegard
👉Rice
👉Jesus
Kai anahitaji kupewa muda kwa kuanza au bench ,ile nafas ya LCM Ni ngumu Sana ,Kai hapana kwa kweli.
Arteta akubali uhalisia tu, huenda kuna jambo ana amini kai atampa, ni bora awe anamuanzisha kai bench kisha timu ikiwa na matokeo ndio aingize kai, namuona kabisa kai anakosa kujiamini, ana kapresha fulani.
Kwangu jesus ni bora mnoo, yule nketiah, ndio kufa kwa waganga tunapungwa na walevi, unahitaji ubingwa epl nketiah ni bench warmer.
Katika magoli ya leo, lipi ni goli zuri zaidi.
Odegard
Rice
Jesus
Awali ilisemwa amekosea kumpa u captainOdegard ,
kwanza kacheza vizuri kuliko yeyote
Arteta hajakosea kumpa u- captain
View attachment 2738238

Wacheze wapi kocha analazinisha kai acheze.Fundi tunamsahau Sana huyu
Akiingia hanaga show mbovu
Reis Nelson
Hivi Trossard hakucheza Jana
Smith Rowe hakucheza
View attachment 2738235
Sio kukosea, kuna ile haiba ya ukapteni hana, ila ndio hivyo mwalimu anampenda sababu anaonesha kile mwalimu anataka.Awali ilisemwa amekosea kumpa u captain![]()
Man u bado mnaishi zama za fergie huku sasa tupo zama za VAR technolojia y mstari haiwezi feli ikiwa VAR itachora lbd marefa wapuuzie kuna tofaut kati ya camera angle ambapo macho yetu huona na mstari square wa VAR enzi za fergie kila msimu mnlikuwa mnajiokotea point zaid ya 15 za wizi msipobadilika msimu huu next year mtacheza comference sabb kiuchezaji mnaonyesh nyie ndio timu dhaifu kuliko zote pale big7 kuna timu hata ikifungwa unaon kbx mpira upo sasa nyie mnaishi kwa counter attack mifumo ya kipind cha ujimaRashidi ni fala sana yule mtu, ana uchoyo na ubinafsi sijapata kuona, yupo tayari apoteze mpira kwa kutaka kulazimisha kufunga kuliko kutoa assist.
Mimi ningekua ni kocha ningempigisha marufuku kufunga hata kama yupo peke yake tu na kipa, na akikaidi kila akifunga anakatwa mshahara, ningempa majukumu ya kutoa assits tu mpaka pale atakapoacha uchoyo wake.
Ila lile goli la Garnacho inaonyesha wazi kabisa leo wote waliokua kwenye chumba cha VAR waliibetia Arsenyo.
Ni kweli anahitaji muda, ni vizuri akitokea benchi kumuondolea hiyo presha.Kai anahitaji kupewa muda kwa kuanza au bench ,ile nafas ya LCM Ni ngumu Sana ,
Martinelli was struggling this season as he lost the 3 players around him from last season in Zinchenko/Xhaka/Jesus. Zinchenko returns today and Martinelli was back to his best. Shows the importance of chemistry for players, something to remember with regards to Havertz.
Jesus ni mtu na nusu, ni top class player.Rasmus alibaki na beki wawili akatoa pasi.
Mtangazaji akasema "Jesus nafasi kama ile angelazimisha kuingia kwenye boks kwa skills na agility yake"
Dk kadhaa mbele Jesus akascore lile goli la wiki. Mtangazaji hakusema hata ile "Exactly what I said earlier"
Now kama mtangazaji anaweza ona gape la unyumbulifu na skills kwa Rasmus kwanini wengine hatuoni? Notice kwamba hata Michail Antonio ukimuacha na mabeki wawili ataforce kuscore na hana skills nyingi au unyumbulifu wa kutisha.
Nafikiri Rasmus angefanya poa timu ambayo ni dominant na siyo kwenye hii game plan inayotaka counter.
Hii ishatokea game na everton kama sikosei song ikafika point akawa hamuamini gervinho kuna mpira wa kumpasia yupo kwenye nafasi anafosi kumpa van persie.Nilikua naona Martinelli hamuamini Kai, akipata mpira Kai akitokea Martinelli anatafuta njia kwingine.
Katika games nne za points 12 tumepata 10. Siyo mwanzo mbaya hata kidogo. Kilichopo benchi lione ni kivipi tunaweza secure points nyingi zaidi
Yah kwasasa baada ya mwaka Ni muda wa Fabio Vieira kupewa muda SasaNi kweli anahitaji muda, ni vizuri akitokea benchi kumuondolea hiyo presha.
Man u bado mnaishi zama za fergie huku sasa tupo zama za VAR technolojia y mstari haiwezi feli ikiwa VAR itachora lbd marefa wapuuzie kuna tofaut kati ya camera angle ambapo macho yetu huona na mstari square wa VAR enzi za fergie kila msimu mnlikuwa mnajiokotea point zaid ya 15 za wizi msipobadilika msimu huu next year mtacheza comference sabb kiuchezaji mnaonyesh nyie ndio timu dhaifu kuliko zote pale big7 kuna timu hata ikifungwa unaon kbx mpira upo sasa nyie mnaishi kwa counter attack mifumo ya kipind cha ujima