Sio ramli ni hali halisi wewe tunakuita false hoper na wenzako wote kutokana na wins kama hizi , kama hapa mlivyo after hii game mna matumaini makubwa sana ila acha ifike may


kila moja atasema sababu yake mara phase 2 mara kaumia fulani au kumuangushia na kumfanya rob holding scapegoat.
Sisi tuna alama 3

kaa kwa kutulia utaona may hapa nan anacheka na nan analia., nyinyi kupewa hope ambayo ni false hope hamjaanza leo kuna matukio mengi kama nelson mwaka jana, welbeck 2016 vs Leicester city , man utd last season na mengine mengi .