Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger orphans siku yenu ya kurambwa mbaya imefika mmepiga Sana mdomo.

Leo ndo ile siku tutawaramba kweli kweli mpaka hashtag za arteta trick kid out zitaanza leo tutacheka sana

Itakuwa ni raha tu wakubwa
1692552522209.jpg
 
Soma vizuri uliponiquote.

Sijasema ulipinga usajili wa Partey. Nimesema MIMI NILIIITA USAJILI WA PARTEY NI PANIC BUY.

Sasa nielewe hapa. Jesus sijasema hafai nimesema price yake na mshahara ni vikubwa. Tammy ndiye nimesema hafai, yeye na Lewin wote hawafai.

Hii Arsenal inahitaji sajili nne ambazo wewe unaona mbili zinatosha. Nne kwakua tunahitaji ST 2, tunahitaji kiungo na Winger ambao hao wote watahesabiwa kama big signings.kisha wasajiliwe back up.

Ukisema big signings 1 au 2 means utasajili ST (Jesus) kisha huku unasajili mchezaji wa level ya Lokonga kuja kuchukua uzoefu. Itakua same cycle
Aaron Arsenal ni huyu huyu jamaa ndiyo maana sometimes anaandika vitu alivyowahi kuniandikia akiwa anatumia id ya Aaron Arsenal.

Anyway hii ni 2022 hapo ni baada ya Arsenal kumlenga Aouar na DM dili la Aouar kukawa na upigaji mwisho likafa Arsenal kututuliza fans ikalipa release clause ya Partey.
 
Usajili wa Partey tumekurupuka.

Maoni yangu;

Tukicheza na timu yenye compact defense hua tunastruggle kupeleka mipira mbele hence tunashindwa kuunda chansi za kupata magoli. Zamani wakati Ozil yupo ilikua haitusumbui sana kwakua alikua anaifanya hii kazi.

Kukosa ubunifu ndiyo sababu akatafutwa Aouar. Partey alitakiwa aje kua CMF mwenye role ya kusupport defense. So kwa struggle yetu ndiyo sababu Houssem akawa ni media buzz kuliko Partey as kazi ya Partey ingeweza kufanywa na Xhaka au Elneny, si kwa 100% ila hata 70%.

So tumeburuzana na Lyon, tukigoma kutoa 50M kwaajili ya mtu mwenye miaka 22 na hakuna wa kuifanya kazi yake kisha tumekuja kutoa 50M kwa mtu wa miaka 27/8 na huku wapo wa kuifanya kazi yake.

Huu ujinga wa chelsea na man u tumeuanza lini?

Huu ni usajili wa kijinga, ingekua na maana kama wangekuja wote wawili ila siyo hivi. Hivi ni zima moto.

Ufala.
Hii ni 2020

Baada ya kusema usajili wa Partey ulikua panic buy na kutabiri tutakua hovyo kwenye attacking tukaanza kuchezea bakora nikaja andika hiki kiishu.

Nimesahau tulitoka kupigwa na nani ila ilikua timu ya kawaida.
 
William Saliba on if Rashford is toughest to play against as a striker or when he is out wide: “For me it's better when he is on the left. When it's like this it's for Ben White [to deal with], not for me.”
1693730006277.jpg
 
Back
Top Bottom