Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hyu huwa anakaza shingo hmu ndani kutetea kigenge chake kama Wana maana vile....Almiron na Gordon wakupe ubingwa kwli??[emoji1783][emoji1783][emoji1783]...nilimwambia ile timu wanachojua ni kukimbiakimbia tu....leo wamekutana na mwanamahesabu wametupa taulo

Tumekubali kwa Brighton yameisha hatuna cha kujitetea , tusubiri zamu yenu msimu uliopita mlikula 3 nil so usicheke sana tena pale pale emirates.
 
Ndio mimi mkuu. Ni bora vichapo vya mwanzo kuliko kuwa false hoper . Newcastle tuna chance ya kufanya vizuriii zaidi ni msimu wetu wa pili tu huu na si miaka 20 kama yenu 0 epl
Well jitahidi uwe hauoni ukungu ukiwa unaongelea mpira mzee.

Juzi nilikuambia mna mentality ya timu ndogo haukunielewa, point yangu ni kwamba kwa hapo mlipo na pesa iliyopo ni muda wa kubadili kocha alete mentality nyingine.

Sasa ukiulizwa bahati mbaya reference yako ni Arsenal tu hutaki kuangalia timu yako. Arsenal isipochukua kikombe chochote kuanzia leo mpaka miaka 20 mbele bado NC haiwezi fikia idadi sawa ya vikombe na Arsenal.
 
Ndio mimi mkuu. Ni bora vichapo vya mwanzo kuliko kuwa false hoper . Newcastle tuna chance ya kufanya vizuriii zaidi ni msimu wetu wa pili tu huu na si miaka 20 kama yenu 0 epl
Nyukesto mna misimu miwili kwenye ligi au Inonga (Mkongo) uliopakiwa jana umekuchanganya mzee[emoji16][emoji16]
 
Kuhusu Kai binafsi nimeweka akiba ya maneno, ila ukweli ni kwamba akipangwa as LCM ule upande unakosa kuwa na threat hata yale makali ya Martinelli hayaonekani tena na hata akiwa F9 zile rotational play haziwi kivile tulivyozoea

Last season Pep mechi zake za mwanzo alikua anapata matokeo ila haikua kwa soka lake lililozoeleka lengo ilikua kumuaccomodate Erling, labda ndicho kinachotokea kwetu tutasuffer kwa muda mfupi kisha akiclick katika anachopanga kocha kichwani mwake tutarudi kwenye makali
20230614_200052.jpg
 
Wenger orphans siku yenu ya kurambwa mbaya imefika mmepiga Sana mdomo.

Leo ndo ile siku tutawaramba kweli kweli mpaka hashtag za arteta trick kid out zitaanza leo tutacheka sana[emoji16][emoji16]

Itakuwa ni raha tu wakubwa[emoji16][emoji16]
1692552522209.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom