Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuumia kwa Chapartey sijapenda kwa kweli, kipigo cha kesho mtakua mmepata tayari sababu ya kujitetea, msimu ulioisha baada ya kuwagonga 3-1 mlisingizia kutokuwepo kwa chapartey ndio sababu ya kufungwa.
Kabla ya ligi kuanza mlikua mnajitapa humu kua msimu huu mna kikosi kipana hivyo tunategemea kipigo chenu kesho hamtasingizia kuumia kwa Partey. View attachment 2737013
Ongea vya mwsho mwsho...kesho ukishinda niulizwe mm...Hamna timu...mna kikundi cha wakimbiaji
 
Tumefanya usajili wa Kai, tangu Kai yupo Chelsea nilikua nasema hana finishing yeye na wenzake lakini shabiki mwingine anakopi article inayoelezea pros za Kai kuja Arsenal na anaamini ni itawork out hivyo tu bila kuangalia factors zingine
Hivi mkuu kwanini tulimsajili Kai sioni a anachoongeza kwenye timu. Hiyo £65 Million Bora tungesajili RCB au sub ya Saka kuliko huu utumbo
 
At the moment huyo mtu ni MARTIN ODEGARD

Huyo ndio anapelekewa mipira muda wote, yeye ndio anafanya turns zake na kutafuta penetration

Ode na Veira
Hawa ndio wenye quality hiyo

Ili acheze Kai, partey au rice mmoja aanzie bench, na sio odegard

Kiuongo kikwa na partey, rice, Kai
Hapo odegard yupo bench tutarukaruka tu, na kutafuta magoli ya papatu papatu

Kama unaingia sokoni, kutafuta quality katika hauo majukumu, yupo Frank dejong pale Barca kumtoa ndio inshu
FDJ, the most offensive center-back. Huyu jamaa nilichinja kuku dili la kwenda Unyumbuni lilivyobuma. CB yake ni ya kipekee sana.
 
Kuumia kwa Chapartey sijapenda kwa kweli, kipigo cha kesho mtakua mmepata tayari sababu ya kujitetea, msimu ulioisha baada ya kuwagonga 3-1 mlisingizia kutokuwepo kwa chapartey ndio sababu ya kufungwa.
Kabla ya ligi kuanza mlikua mnajitapa humu kua msimu huu mna kikosi kipana hivyo tunategemea kipigo chenu kesho hamtasingizia kuumia kwa Partey. View attachment 2737013
Mbona Tunawachapa bila ya partey, kaa kwa kutulia
 
Unakuta amekomaa kutaja majina ya wachezaj wake Average utazani ndo galacticos wa enzi zile za kina Beckham,Zidane,Carlos,Ronaldo wale tuliowambwaga Shanga UEFA kwa bao la TH14, ndo kina willson, almiron hao[emoji16]
Mara atuletee na takwimu zake za hapa na pale🤠🤠🤠....basi ilimradi tu vurugu nyiiiingiiii
 
Hivi mkuu kwanini tulimsajili Kai sioni a anachoongeza kwenye timu. Hiyo £65 Million Bora tungesajili RCB au sub ya Saka kuliko huu utumbo
Kai ulikua usajili wengi tumeshtukia amefika.

Kama utakumbuka wengi tulidhani namba ya Xhaka atacover Trossard au Emile hakuna aliyejua kocha ana mipango gani.

Binafsi kwakua najua Kai ana skills na ni AM na ndiyo Rice alikua anakuja huku rumours za Partey kuondoka zinapamba moto nilifikiri Arteta anataka 4 3 3 ambayo 3 ya mid itakua na DM Rice kisha AM Kai na AM Odegaard.

Ila game ya city nikaona kamuweka CF na hizi nyingine kama mid so bado sioni idea ya kocha ameona jamaa ana strength zipi kiuchezaji na ana mpango upi tena
 
Uwe unaelewa.

Ili Rice na Kai wapangwe inabidi Partey awe RB na White awe CB na Gabriel awe benchi.

DM kucheza beki ni jambo la kawaida mno kama ndiyo kwanza unaona kwa Arteta basi subiri
Unazingua ... kai akianza siyo lazima partey acheze RB.. Uliicheki game na city
 
Flano Yuko wapi aje kumjaza ujinga jamaa yake[emoji1783][emoji1783][emoji1783]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] jana nilikua na ndugu yangu Masingeli kwenye jukwaa la Man Utd tukitambiana kuhusu mechi ya jumapili, nilimuahidi Masingeli jumapili tukimfunga Arsenyo atafute kabisa sehemu ya kujificha maana tutampiga mande mashabiki wa Utd pamoja na mashabiki wa Arsenyo waliochoka na taarabu zake[emoji16][emoji16][emoji16]
Leo asubuhi nikaamkia humu kutest mitambo kama kuna sehemu yoyote ina loose connection, aiseeeee nilichokutana nacho humu Masingeli aombe tu kesho apate walau hata draw la sivyo atafute chimbo kabisa la kujificha kwa miezi isiyopungua mitatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1693680759444.jpg
 
Kwahiyo Arteta kwenye press conference zake akisema " hamis77 nataka nikugonge" na wewe unakubali?

Kuna ushabiki wa mpira halafu kuna mipasho. Wa kiume hatakiwi kuwa na mipasho, hasa ukiwa mshabiki wa Arsenal.

Punguza mipasho mtoto wa kiume maana nikikuambia uache kwa haraka haraka kwa kuwa ni tabia yako hutoweza.
Unatupa sifa mbaya wana Gunners.
Lugha gani tena hizi wazee
tumia lugha ya mpira .....
 
Partey Kuna tetes Ni injury

Arsenal wameficha ,Ghana wameropoka

Arsenal walikuwa wanataka wamuuze Saudi maana dirisha lipo wazi ,Ghana kwa uropokaji wao wameharibu


Jamaa kaumia inasemekana nje miezi 3-4


Kuna Muda Arteta na Edu walikuwa sahihi kabisa kutaka kumuuza Partey, Leo nakiri wazi kabisa [emoji1317]

Jamaa anapata sana injury sijui kwanini yani [emoji17]

Ni muda Sasa wa Fundi Jorginho na Rice
Hakuna ukweli sana juu ya hili. Jamaa alikuwepo jana na leo mazoezini.
Ngoja tusubiri club statement tu-confirm hizi taarifa.
 
Labyrinth 84 team yako niaje?ndio one season wonder au

Leo sio siri huyu De Zerbi katudhalilisha si kwa mpira ule yaani wakiwa na mpira ni hatariii wasipokua nao ndo hatariii zaidi tulikua tunatembea tu uwanjani huyu sasa ndo Genius si huyu ndezi wenu Arteta. Leo nimenyosha mikono kwa De Zerbi team unaiona inavyocheza hakuna pengo la caicedo sijui trossard sijui nan ni compelete team.

Kuhusu kipigo hizi game 4 zilikuwa hatarii hata kabla league haijaanza niliona ni ngumu na zimekua ngumu kweli.

We move forward!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom