Actually nimekunja kweli. Unaandika maneno ya kimiyeyusho sana wewe unaniuliza mimi namkataa Tammy kama nani?Mbona una hasira , kutokuwepo humu mara kadhaa na sababu zangu binafsi ,ila hainuzuii kurud na kusoma comment
Ww ulikuwa kinara na umekuwa kinara wa kupinga sajiri na zinakuumbua , ulikomaa humu aletwe onana ,
Halafu ceballos sio usajiri wa Arteta kamkuta ni mkopo na alimtudisha Madrid, Partey ndio usajiri wake kabisa na tunaona Matokeo yake
Huyo Aouar uliyetaka Aje walimuacha
Tufike mahala tuheshimu taaluma za watu
Ceballos hajawahi kuletwa na Arteta ,
Arteta na Edu toka last season Tammy yupo kwenye list yao , wewe unamkataa kama Nani? Ume anilize vitu gan tofaut na wao
Gabriel Jesus unamkataa , Kocha anamuhitaji, njoo na fact ume anilize vitu gani tofaut na Kocha
Hii si komedi unaniletea?
Aouar hakuja. Lakini Arsenal ilikua confident kumleta kiasi mpaka video ilitengenezwa. Pesa iliyotakiwa ikasababisha aachwe na panic buy ikatua kwa Partey. Ceballos hakua usajili wa Arteta ni kweli lakini Arteta aliamini anaweza milk something outta Ceballos akakuta jamaa hana kitu.
Na amerudi Madrid kwakua alisema anataka ahakikishiwe game time la sivyo akapambanie namba Madrid.
Onana hajasajiliwa siyo kwakua Ramsdale ni bora kuliko Onana ila ni kwakua Arteta alisema anataka kipa awe home grown player. Hicho kipengele ruled out Mat Ryan na Onana na siyo quality, this means hata Emi angekupo angepigwa chini vile vile.
Itakua mara ya kwanza kuambiwa kwamba huyy mtu tunamuangalia since wayback? Kwani umeanza leo kufuatilia usajili?