Kanyamulano
JF-Expert Member
- Nov 25, 2017
- 905
- 875
Wazee kuhusu ozil kunatatizo gan kweny mazoez anaudhuria ila haonekan kwenye game nin shida
Ulikuwa wapi Ndugu yangu, ulilala nini maana Jana Liverpool na Man u wamekukoma![]()
Mkuu leo nimepanga nitulie kimyaaaaaaaaaaaa ili deal zikamilike kwanza, kisha tuanze kuwakeraaaaKaka hapa umemkosea heshima partey omba radhi Arsenal miaka zaidi ya 10 haijawah kuwa na kiungo Mkabaji shupavu mpambanaji jasiri mpiga pasi leo unasema ni usajli wa Kijinga?Partey atamfanya Xhaka and ceballos warelax wasiwe na presha kabisa kwa hili hapana nakukataliaUsajili wa Partey tumekurupuka.
Maoni yangu;
Tukicheza na timu yenye compact defense hua tunastruggle kupeleka mipira mbele hence tunashindwa kuunda chansi za kupata magoli. Zamani wakati Ozil yupo ilikua haitusumbui sana kwakua alikua anaifanya hii kazi.
Kukosa ubunifu ndiyo sababu akatafutwa Aouar. Partey alitakiwa aje kua CMF mwenye role ya kusupport defense. So kwa struggle yetu ndiyo sababu Houssem akawa ni media buzz kuliko Partey as kazi ya Partey ingeweza kufanywa na Xhaka au Elneny, si kwa 100% ila hata 70%.
So tumeburuzana na Lyon, tukigoma kutoa 50M kwaajili ya mtu mwenye miaka 22 na hakuna wa kuifanya kazi yake kisha tumekuja kutoa 50M kwa mtu wa miaka 27/8 na huku wapo wa kuifanya kazi yake.
Huu ujinga wa chelsea na man u tumeuanza lini?
Huu ni usajili wa kijinga, ingekua na maana kama wangekuja wote wawili ila siyo hivi. Hivi ni zima moto.
Ufala.
Mwanangu umelewa nini Leo ?Usajili wa Partey tumekurupuka.

will return when fans back. Jurassic scoop by @gunnerblog forNdio maana hukauki huku jukwaa la Arsenal ,ndio umehamia manake wewe umesema timu sio kabila wala ukoo karibu.
![]()

nimekuja kuwatafuta wenye mapenzi na darajani nimewakuta wengi ila wanajificha atleast wewe unaonyesha ujasiri.
Mwanangu tuliza kwanza Akili,Nasikia tunahangaika na mtu anaitwa Omar Rekik
Sina la kusema ,nitaongea kesho, am tiredcomputerarsenal kuna shabiki wa Chelsea nilimpa maoni hayo niliyoandika akajibu ulichojibu wewe hiko cha kuwarahisishia Ceballos na Xhaka maisha, stori kadhaa mbele nikagundua anachoniambia kakisoma insta kwa mchambuzi mmoja hivi wa Tanzania.
So nachelea kuamini hata wewe umemsoma huyo mchambuzi.
Xhaka ni DMF, Elneny ni DMF na Partey ni DMF. Da fuq are we doing?
Now mimi nilikua wa kwanza kusema Elneny ni mchezaji mzuri watu wakanipinga humu ila tulipofikia tumejionea. Na hili nalisema juu ya Partey, hatooffer ambacho Arsenal tulikikosa, creativity.
Kuwarahisishia Xhaka na Ceballos be damned this is absurd.
Aaron Arsenal sijalewa. Prove me wrong.
Xhaka sio DM hata siku moja hayo majukumu yamemkuta Arsenal baada ya injury crisis ya Coquelin na Cazorla but mainly Coquelin! Wenger akaanza mtumia kama mkabaji.computerarsenal kuna shabiki wa Chelsea nilimpa maoni hayo niliyoandika akajibu ulichojibu wewe hiko cha kuwarahisishia Ceballos na Xhaka maisha, stori kadhaa mbele nikagundua anachoniambia kakisoma insta kwa mchambuzi mmoja hivi wa Tanzania.
So nachelea kuamini hata wewe umemsoma huyo mchambuzi.
Xhaka ni DMF, Elneny ni DMF na Partey ni DMF. Da fuq are we doing?
Now mimi nilikua wa kwanza kusema Elneny ni mchezaji mzuri watu wakanipinga humu ila tulipofikia tumejionea. Na hili nalisema juu ya Partey, hatooffer ambacho Arsenal tulikikosa, creativity.
Kuwarahisishia Xhaka na Ceballos be damned this is absurd.
Aaron Arsenal sijalewa. Prove me wrong.
Katika siku zote ulizojaribu kuchangia humu, inawezekana uliwahi kukosea ila leo ndio umekosea zaidi!Usajili wa Partey tumekurupuka.
Maoni yangu;
Tukicheza na timu yenye compact defense hua tunastruggle kupeleka mipira mbele hence tunashindwa kuunda chansi za kupata magoli. Zamani wakati Ozil yupo ilikua haitusumbui sana kwakua alikua anaifanya hii kazi.
Kukosa ubunifu ndiyo sababu akatafutwa Aouar. Partey alitakiwa aje kua CMF mwenye role ya kusupport defense. So kwa struggle yetu ndiyo sababu Houssem akawa ni media buzz kuliko Partey as kazi ya Partey ingeweza kufanywa na Xhaka au Elneny, si kwa 100% ila hata 70%.
So tumeburuzana na Lyon, tukigoma kutoa 50M kwaajili ya mtu mwenye miaka 22 na hakuna wa kuifanya kazi yake kisha tumekuja kutoa 50M kwa mtu wa miaka 27/8 na huku wapo wa kuifanya kazi yake.
Huu ujinga wa chelsea na man u tumeuanza lini?
Huu ni usajili wa kijinga, ingekua na maana kama wangekuja wote wawili ila siyo hivi. Hivi ni zima moto.
Ufala.
Mkuu Leo umezngua.Usajili wa Partey tumekurupuka.