Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakika nilibak shabik city kwny ligi tu lkn uefa nilikua na La Pulga.

Ndo maana unaona kaondoka Psg na Followers wake wamepungua kwa wingi tuko sasa Inter Miami... Krb pia la Pulga ni kama Maji tu. Ni ww uchague matumiz yake yawe yapi.
Na ndiyo maana tunawaita plastic fans
 
Kwahiyo wewe ni plastic fan (WA man city), sio kama wale wa kuitwa die hard fan??
Hakuna Die Hard fan mzee[emoji23].. Die hard fan team ya baba yako bana au unaipa hela ww acha kuleta neno die hard, die hard wkt hauchangii hata team chochote mkuu ww sisi ni wapiga kelele tu.

Kila mtu kaanza kuipenda team fulan sana sana kutokana na muelekeo wake au mafanikio yake ya nyuma au kingne chochote ambacho wkt uwo anajielewa khs mambo ya mpr aliikuta team iyo iko vzr.

Hata ww nikikuuliza umeanza kuipenda lini Arsenal utakuta uliipenda kipind cha Neema kila ambacho iko kwny chat.

Sasa ndo kama mm ushabik wng wa City ni tangu 2009 baada ya kuona hii team ina mwelekeo sahihi na project yake nikaiona kbs ina mwanga...na kwl project imeBoom mkuu au nasema uongo... Kwhy ilo swala la kua plastic au mental au die hard ilo ni minor na mnalitumia nyie mnaojarb kuundermine mafanikio yetu sisi city kwa sbb ya wivu lkn naelewa mkuu ndo ushabik lzm utafute sehem na ww ya kujipozea machungu.
 
Kwahiyo wewe ni plastic fan (WA man city), sio kama wale wa kuitwa die hard fan??
Wewe haujiulizi kwnn dunia yetu ya tatu huku washabik wa Aston villa wakina Crystal palace hawapo au ni wa kutafuta kwa tochi sana.. Unahis kwnn?

Unahis kwnn washabik wengi ni Man U, Chelsea., Arsenal, ManCity wakina Barcelona na Madrid... We unahis ni kwnn watu wengi ni shabik wa izo team?

Sababu ni moja tu kila mtu kawa shabik wa izo team mostly kwny Glory days zikiwa on chat au zikiwa na muelekeo wa project nzr na huo ndo ukwl kila mtu kapend team wkt zikiwa zinaeleweka na zinashinda vikombe.

Acheni izi hoja zenu mfu na mnazotumia kujificha kua eti kuna die hard fans na plastic fans.. Kama plastic fan tukianza chambua mda ambao ww umeipenda team yako,na ww tutakukuta humo humo in between glory days ndo ukaipenda team na ww ni plastic fan vile vile tu[emoji23]
 
Watu mnafukua makaburi [emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] shikamoo mzungu. Franklin1902 kumbe wewe ni mzamiaji wa City
Alipo la Pulga me nipo mkuu.. Huyu ndg yngu kajrb kuleta hoja.. Sasa namjib kwa point naona kakubal points zngu kua kila mtu ni mzamiaji wa izi team hakuna team mtu kaanza shabikia ikiwa haina muelekeo kama anabisha kila mtu aseme yy kaanza kuipenda team yake lini tuchambue tuone kama kwl sio Plastic fan[emoji23]

Ww mwnyw team yako tutafute mda ambao ulianza kua mshabik wake tuweke wazi hapa.. Kama na ww sio Plastic fan[emoji23] me ntajitolea nikulipe kwa usumbufu niliokusababishia[emoji23]
 
Arsenal inahitaji MSHAMBULIAJI(GOAL SCORER) hili tumelipigia kelele sana imagine tumeshika chupi mkononi wakati game ilitakiwa iishe half time ball possession 85 for 15 but sisi roho mkononi na Champions league kwa style hii ya uchezaji kama goal la kwanza tuliroruhusu kazi ipo ,Arteta muda anao aingie sokoni na Edu walete killer goal scorer ASAP
Ikiwezekana Balogun asiuzwe au akiuzwa asajiliwe a better finisher wa Calibre ya Vlahovic.
 
Mimi bado naamini Arteta anajua kuliko mashabiki wengi wa Arsenal humu ndani.
A very big misconception mbona alifeli kwa Willian, Tavares na Lokonga?. Kila mwenye akili anajua Harvetz ni ozil wa kichina!!!na Bora ozil alikua creative na accurate ila huyu ni mzigo na hawezi kufunga!!

Huyu anaweza kuwa anguko la Arteta kama ataendelea kumkumbatia, ESR na Trossard are far better kuliko huyu ngongoti.
 
A very big misconception mbona alifeli kwa Willian, Tavares na Lokonga?. Kila mwenye akili anajua Harvetz ni ozil wa kichina!!!na Bora ozil alikua creative na accurate ila huyu ni mzigo na hawezi kufunga!!

Huyu anaweza kuwa anguko la Arteta kama ataendelea kumkumbatia, ESR na Trossard are far better kuliko huyu ngongoti.
Kwani kocha gan ambaye sajili zake hafeli?

Mbona sajili nyingi mliziponda mwisho mkatulia

Nyie semen mnachuki na kai ,so kila mech mnaenda kuangalia wapi kakosea ,

Kifupi mmepata spacegoat
 
Kwahiyo Mess alivyoenda PSG, ukaacha kuishabikia Man City kwa muda? View attachment 2715836
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]halafu ndio wanakuwa na mdomo Sana

Barcelona ikipoteana anatafuta Chaka lingine

Maplastic fan wanatabia za kimalayamalaya

Walihamia PSG, waliwahi fungua Uzi wa Leicester humu, Sasa hivi wamegawana wengine Newcastle na mancity

Baadae watazikimbia hizo timu
 
Glory hunter huyo, nenda jukwaa la psg utamuona
Ndio Maana mashabiki wa hivi huwa nashangaa wanaowajibu Maana Wana tabia za kimalayamalaya

Ndio wanakuja kulalama humu

Barcelona ikiwahot yakwake , mancity yakwake , Newcastle yakwake


Sasa hivi et ni diehard fan wa city [emoji1787][emoji1787]
 
Tuka nyamazisha mikia ya blue

FB_IMG_16916741427383765.jpg
 
Mfumo aliojaribu arteta leo ni majanga mnoo kwa timu inayopiga counter, yenye kumtumia winga kiberenge.

Kina saliba chini pale walikuwa wanakaa na mpira, anaweza kusimama na mpira mpaka sekunde kadhaa hampasii mwenzie,sijajua ni kwaninj, kuna haja ya kuchangamka.

Kai anaruka ruka, rice anaonesha kitu kadri siku zinavyokwenda.
Hata kama ozil ni lazy huyu kai sijui tumpe sifa gani[emoji1787], leo kuuficha mpira tu tabu kwake[emoji1787].

Nketiah timu si wa kutegemea.

Possession, na chance tulizotengeneza, na magoli tuliyofunga ni vitu viwili tofauti, kwa possession ya 80+% unategemea kuwe na chance created za kutosha, goli za kutosha.
Mkuu vitu vingine tuacheni ujuaji

Hao forest mfumo wao mechi ya mwisho tukishindwa kuwangua nyuma wanakaa watano


Walitupiga goli 1

Ndio sababu ikabidi Jana wachezewe 3-Diamond-3

Ambayo ina attackers 6 ku overload back 5 Yao

6v5 ili kutengeneza nafasi nyingi


Hiyo kaunta unayosemea wamepiga ngapi?

Je mfumo gani ambao tuliwahi kucheza kaunta haupigwi ?

Kwa timu zinazotumia back 5 ,msimu huu tutakuwa tunaingia na 3-diamond-3 ,ndio dawa Yao
 
Nyie kila mechi mnaponda mnataka Arsenal icheze kwa possession 100% Hakuna powerful formation ndio Maana modern football imehamia 4-3-3 huwezi kutawala EPL Sasa na 4-2-3-1
Ambangile ni kocha anachambua vizuri Sana hata huyo nonewthing hakuna alipoponda kamsome leo yeye anachozungumza Kai acheze CF
Arteta amlete locateli
Wala hachambuagi formation yeye ana malalamiko yake Partey hakimbii Kasi imeisha
Tofautisha kuponda na kukosoa.

Niliandika bado tunaridhika na magoli.

Two minutes later Forest wanapata goli.

Baada ya kupata goli wakaacha low block nyuma pakawa wazi zaidi. What did we do?

Ukiwa unacheki mechi usiishie kutazama game hiyo, wazia ikiwa ungecheza na opponent mwingine nini kingetokea?

Kwa goli la jana ni kwamba tusipojirekebisha Brighton ana goli kwetu, New Castle ana goli, Brentford ana goli, Liva ana goli, Fulham ana goli, Villa ana goli. Ukiwa unaangalia mechi za timu nyingi kiasi inaweza kukusaidia.
 
Tuliwaambia humu kuhusu Biashara ya KAI jamaa wao yule oya oya akaja na stats na facts uchwara kumtetea.

KAI hata ukichukua Mama Ntilie ambae hajawah kuangalia mpr akamuona kwa mara ya kwnz uwanjan anajua kbs hapa hakuna mchezaj.

Huyu kijana anatembelea lile Goal alilotupiga UCL final lkn tofaut na hapo ni total rubbish mvivu na mzito sana.
Binafsi nachokion kwa kai sio mshindani yaan mpambanaji anaoffer vitu vya kawaida ambavyo impact yake ni ndigo kwenye timu yetu...mfumo wa jana hata angeanz smith rowe kama second striker nadhan tungefunga magoli mengi zaidi sabb aslimia kubwa nottnham tuliwazidi mbinu parefu san ikafk muda kocha wao akawa hajui afanye nini kidogo sub yao na ile counter attack ambayo pia kai alichezewa rafu ikawarudish mchezoni...siwez sem kai ni sajili bora kwetu na hii inaonekn mchn kweupe angalia Rice na timber wanatupa energy uwanjani na upambanaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom