Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji23]Mkuu wavumilie.. Ww najua unawajua vzr maana ulikua shabik wa team hii.

Unajua kbs kuna baadhi ya mashabik ni oya oya na wanaponza wenzao kwa kuwajaza upepo wakihisi lbd wana super team ya kufanya jambo kubwa.

Tuendelee kuwavumilia.. Ndo maama unaona shabik yoyote wa Arsenal mwny akil timamu akijarb kuongea senses za ukwl khs Arsenal hawa wakina Mc na genge lao la wahuni wanamshambulia vikali kwa sbb wao wanatk sikia maneno matamu tu khs Arsenal hawatak upinzan hata kdg.
Nikuulize mkuu umeanza kushabikia City lini....
 
Unajua kuna watu wanachekesha sana. Yaani mtu anashangaa timu kuwa under pressure kwenye mpira wa miguu?

Kwani forest waliingia uwanjani kucheza disko?

Kwani wenyewe walikuwa hawatafuti matokeo?

Kwanza mimi hata hiyo pressure inayosemwa mimi sijaiona. Ukitoa hilo goal la counter.

Bado hata kipindi cha pili Arsenal imetengeneza nafasi nyingi kuliko forest.
Watu wamejaa mihemko, wengine wameingiza na matokeo yao, wengine wamebeti ,Sasa hasira zote zinakuja tulikuwa na presha ,

Tutaenda nao kiwehu wehu hivo hivo wanavyotaka
 
Mtabeba nyny mkuu..si unataka niseme hvyo au[emoji28][emoji28][emoji28]...mm nimesema sisi na nyny ikirudiwa tena hao viumbe wenu tunawaweka korokoroni tena[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu nimejarb kukusiii sana urud kwny senses zako lkn umegoma na umekaidi kitacho kukuta msimu huu usije sema sikukwambia.
 
Hao uliowataja unaona ni wachezaji kweli? Yaani viera na nelson kwahiyo akitoka odergard aingie viera nafsi yako itakuwa poa kabisa[emoji23] au jesus anatoka anaingia nkentiah .
Mtaenda kututia aibu UEFA kwa kakikosi finyu hata aston villa wamewazidi upana wa kikosi.
Mkuu weka first eleven yako tuone nani anamuweka benchi first teamer wwte wa Arsenal....
 
Nikuulize mkuu umeanza kushabikia City lini....
Ili swali mbona nilishajibu sana hapa na majukwaa mengne.

Kwa kua umeuliza ntajibu tena kwa mara ya mwsh.

Mm nilikua shabik wa Barcelona tu ndo ilikua team yng pekee.. Lkn nikaona sometimes nakosa sana uhondo wa Epl kwa sbb ina amsha amsha na mashabik oya oya wengi.. Bas 2009 ndo nikadevelop interest na City wkt kocha bado akiwa Mark Hughes na team ndo December yake 2009 ndo akapewa Roberto Mancini.
 
Mkuu nimejarb kukusiii sana urud kwny senses zako lkn umegoma na umekaidi kitacho kukuta msimu huu usije sema sikukwambia.
Mkuu kombe mshindi ni mmoja tu...May atajulikana😅😅😅....ila ahadi yangu ipo palepale....match week 8...yle Mr Tom Halaand tunamficha tena kama siku ile
 
Kinachonifurahisha ni kwamba huyu Ambangile anasifia halafu Nonewthing anaponda jinsi tulivyocheza. Hao wote wawili hua mnawatumia kusapoti mnachoona.

Tuliokosoa namna tunacheza tulikosoa huku mechi inaendelea. Ambangile kasubiri mechi iishe.

Nataka niwaambie kitu the most powerful formations kwenye mpira ni 4 2 3 1 na 4 4 2 hizi zingine ni mbwembwe tu.

Ujinga ujinga tu mnakaa mnasifia.
 
Ili swali mbona nilishajibu sana hapa na majukwaa mengne.

Kwa kua umeuliza ntajibu tena kwa mara ya mwsh.

Mm nilikua shabik wa Barcelona tu ndo ilikua team yng pekee.. Lkn nikaona sometimes nakosa sana uhondo wa Epl kwa sbb ina amsha amsha na mashabik oya oya wengi.. Bas 2009 ndo nikadevelop interest na City wkt kocha bado akiwa Mark Hughes na team ndo December yake 2009 ndo akapewa Roberto Mancini.
Okay mi nimekuwa active member sio mda mrefu sana nilikuwa napitia jamii forum jukwaa la michezo mara chache nikaona nijisajili rasmi....kwhyo kumbe umeingia na mkaanza kunyanyua makwapa sio😅😅😅...basi wacha boli litembee....nikajua ni City tangu miaka ya 90 kipindi hiko ni kikundi cha wafanya jogging pale Manchester
 
Mkuu kombe mshindi ni mmoja tu...May atajulikana[emoji28][emoji28][emoji28]....ila ahadi yangu ipo palepale....match week 8...yle Mr Tom Halaand tunamficha tena kama siku ile
[emoji23][emoji23]Sawa naona umeamua kukaidi umegeuka shabik oya oya na ww unakaza fuvu.. Lkn kitakacho kukuta me uzr nishajitoa nilikupa tahadhari mapema.
 
Okay mi nimekuwa active member sio mda mrefu sana nilikuwa napitia jamii forum jukwaa la michezo mara chache nikaona nijisajili rasmi....kwhyo kumbe umeingia na mkaanza kunyanyua makwapa sio[emoji28][emoji28][emoji28]...basi wacha boli litembee....nikajua ni City tangu miaka ya 90 kipindi hiko ni kikundi cha wafanya jogging pale Manchester
[emoji23][emoji23]Hpn mkuu mm nilikua shabik wa Barca tu.. Lkn 2009 ndo mahaba yng na City yalianza onekana wazi.

Na ndo tulikua tunaingia pia kwny project ya mwarabu.. Na kiukwl tunafurahia kupata Oil money project yetu imeBooom.
 
Mkuu Newcastle mchezaji pekee anayeweza kuja compete kwny kikosi chetu ni kipa tu...ila kuanzia namba 2 mpk huko mwsho ni WA kawaida sana [emoji28][emoji28][emoji28]...hvi Isack anaweza kugombania namba na Jesus kwli...jmni kuweni serious....Almiron agombee namba na Saka....Martinelli nani anmuweka nje hapo kwenu....Partey...Rice....Rolls Royce Saliba..brother man White...Timber[emoji28][emoji28][emoji28]...mkuu huogopi

Sasa huyo jesus unaona ni forward wa maana mzee haya akitoka jesus anaingia nan? Barnes tu anayeanzia sub pale magpies ameachwa goal 3 na top scorer wenu bado pia wilson top scorer wa Newcastle anaanzia sub nitajie aliyempita wilson magoli msimu uliopita?

Tutakunyamazisha mdomo mda si mrefu usikimbie.
Top of the league unajua yupo nan saivi[emoji23][emoji23] kuwa na heshima bana tushavuka kisiki then next stop ni kwa city tunamalizana naye taratibuuuu bila kelele tukutane may tuone nan anacheka nan analia.
 
[emoji23][emoji23]Sawa naona umeamua kukaidi umegeuka shabik oya oya na ww unakaza fuvu.. Lkn kitakacho kukuta me uzr nishajitoa nilikupa tahadhari mapema.
Tuko vzuri sana msimu huu...sina wasiwasi kbsa...kazi kubwa ni kuwasakama mtoke pale juu maana nyny ndo kikwazo...na mtatoka😅😅😅
 
[emoji2788]| Bukayo Saka:

“I have a lot to improve. I think dealing with different games, like for example playing against two-v-one, how I’m going to manage myself.

“I think other games where I don’t have a lot of shots, like even today [vs Forest] I don’t think I had a lot of shots, I want to leave the game with more shots because then I have more chance of scoring.

“Then of course my right foot, my heading, there’s a lot of things to improve.” [@footballontnt] #afc
 
Na hapa ndo mnapojichanganya ndugu zetu...mfumo wetu distribution ya magoli ni timu nzima....siku forward asipo click wengine wanafanya kazi....mwaka jana Jesus...Martinelli...Saka... Odegaard....Xhaka...Partey..Nketiah wte waligawana magoli...nenda kaangalie kwny ligi Tano Uerope ni timu zipi zilifunga magoli mengi utapata jibu😅😅😅...halafu nyny ni tawi letu hyo Willock mlokuwa mnamuona mwaka jana anakiwasha kwlikwli ni kijana wetu tulimtoa klabuni baada y kuona dogo hatufai😅😅😅....Sasa nashangaa unavyojitutumua kijana....narudia tena Newcastle bdo sana....Mlimtaka Tierney ila tumeona aende Spain huko akacheze kuliko abaki Uingereza aanze kutusumbua....
Sasa huyo jesus unaona ni forward wa maana mzee haya akitoka jesus anaingia nan? Barnes tu anayeanzia sub pale magpies ameachwa goal 3 na top scorer wenu bado pia wilson top scorer wa Newcastle anaanzia sub nitajie aliyempita wilson magoli msimu uliopita?

Tutakunyamazisha mdomo mda si mrefu usikimbie.
Top of the league unajua yupo nan saivi[emoji23][emoji23] kuwa na heshima bana tushavuka kisiki then next stop ni kwa city tunamalizana naye taratibuuuu bila kelele tukutane may tuone nan anacheka nanmnapojivhangan
 
Tuko vzuri sana msimu huu...sina wasiwasi kbsa...kazi kubwa ni kuwasakama mtoke pale juu maana nyny ndo kikwazo...na mtatoka[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23] Sio jambo rahis ilo ndg yng.

Liver ndo mtu wa mwsh kumuona anatuchallenge serious sana kiasi kwmb hata mm nilikua naogopa.

Kiukwl Arsenal hamna ile Aura ambayo liver ile ya moto ilikua nayo ambayo tumepishana nayo mabega na vikumbo mara kwa mara.

Yan mm pa1 na nyie msimu uliopita kukaa kilelen mda mref nilikua hata siwawazii kbs maana nilijua Arsenal hii lzm tuwashushe tu kwa sbb 1 tu Arsenal siku zote ikifika mda wa kua serious na mambo ndo hapo ujue lzm wakuangushe tu tena Hawata kuangusha watahakikisha wanakudharirisha pia[emoji23] ndo Arsenal mlivo na team yenu iyo mda wa serious lzm iwaangushe vby sana.
 
Kinachonifurahisha ni kwamba huyu Ambangile anasifia halafu Nonewthing anaponda jinsi tulivyocheza. Hao wote wawili hua mnawatumia kusapoti mnachoona.

Tuliokosoa namna tunacheza tulikosoa huku mechi inaendelea. Ambangile kasubiri mechi iishe.

Nataka niwaambie kitu the most powerful formations kwenye mpira ni 4 2 3 1 na 4 4 2 hizi zingine ni mbwembwe tu.

Ujinga ujinga tu mnakaa mnasifia.
Nyie kila mechi mnaponda mnataka Arsenal icheze kwa possession 100% Hakuna powerful formation ndio Maana modern football imehamia 4-3-3 huwezi kutawala EPL Sasa na 4-2-3-1
Ambangile ni kocha anachambua vizuri Sana hata huyo nonewthing hakuna alipoponda kamsome leo yeye anachozungumza Kai acheze CF
Arteta amlete locateli
Wala hachambuagi formation yeye ana malalamiko yake Partey hakimbii Kasi imeisha
 
Sasa huyo jesus unaona ni forward wa maana mzee haya akitoka jesus anaingia nan? Barnes tu anayeanzia sub pale magpies ameachwa goal 3 na top scorer wenu bado pia wilson top scorer wa Newcastle anaanzia sub nitajie aliyempita wilson magoli msimu uliopita?

Tutakunyamazisha mdomo mda si mrefu usikimbie.
Top of the league unajua yupo nan saivi[emoji23][emoji23] kuwa na heshima bana tushavuka kisiki then next stop ni kwa city tunamalizana naye taratibuuuu bila kelele tukutane may tuone nan anacheka nan analia.
Mshabiki wa Newcastle unaielezea kwenye jukwaa la Arsenal ,hamna jukwaa lenu au ndio unashindwa kuiacha Arsenal
 
Hatukuwa na kikosi kipana..key players walipopata pancha basi ndo ukawa mwsho...ila safari hii msijichanganye mkatoa gepu kama lile..mtatema ndoano😅😅😅....halafu kuna mechi tulikuwa tunafanyiwa hujuma za wazi....mfano mechi na Brentford goli lao lilikuwa offside kabisa ila mtu wa VAR akaja ku admit baadae kwamba alisahau kuchota mstari wa offside...mechi na Southampton pale kwao Jesus anashikwa waziwazi ila refa anakausha yaani tulikuwa tunafukuzna na City na marefa juu
[emoji23] Sio jambo rahis ilo ndg yng.

Liver ndo mtu wa mwsh kumuona anatuchallenge serious sana kiasi kwmb hata mm nilikua naogopa.

Kiukwl Arsenal hamna ile Aura ambayo liver ile ya moto ilikua nayo ambayo tumepishana nayo mabega na vikumbo mara kwa mara.

Yan mm pa1 na nyie msimu uliopita kukaa kilelen mda mref nilikua hata siwawazii kbs maana nilijua Arsenal hii lzm tuwashushe tu kwa sbb 1 tu Arsenal siku zote ikifika mda wa kua serious na mambo ndo hapo ujue lzm wakuangushe tu tena Hawata kuangusha watahakikisha wanakudharirisha pia[emoji23] ndo Arsenal mlivo na team yenu iyo mda wa serious lzm iwaangushe vby sana.
 
Hatukuwa na kikosi kipana..key players walipopata pancha basi ndo ukawa mwsho...ila safari hii msijichanganye mkatoa gepu kama lile..mtatema ndoano[emoji28][emoji28][emoji28]....halafu kuna mechi tulikuwa tunafanyiwa hujuma za wazi....mfano mechi na Brentford goli lao lilikuwa offside kabisa ila mtu wa VAR akaja ku admit baadae kwamba alisahau kuchota mstari wa offside...mechi na Southampton pale kwao Jesus anashikwa waziwazi ila refa anakausha yaani tulikuwa tunafukuzna na City na marefa juu
[emoji23][emoji23]Naona unajarb kuleta vijisababu bas nikubaliane na ww kua hamkufanyiwa fair sehem zngne.

Lkn nataka kukuuliza saiv swali moja la mwsh.

Je, kikosi chenu msimu huu mko tayar kutuchallenge na mko serious kbs kwenda mguu kwa mguu na sisi.. Na hakuna visingizio vyovyote vile?.

Kama ayo maswali ni ndio bas sitataka mwshn mwa msimu unikimbie natak uwepo hapa nikiwa nawapiga makombora ya kutupa kwa mkono.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom