Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 38,237
- 76,760
Ninachukia kwamba kila nilichosema kuhusu jamaa kwa hizi games chache kinajionyesha dhahiri.Kocha mpaka anabadili winning formula Ili tu Harvetz acheze. Naona hata Smith au Trossard are better wakicheza nyuma ya Nketiah kuliko huyu galasa
Jana alikua mbele ya beki na akafikiwa.