hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,622
- 27,310
Waliingia na matokeo mfukoni tushinde nyingi tukae juuNdio watu hawaelewi
Hawajui Kuna mechi wenzetu watashinda chache ,nasi tutapiga mtu nyingi
Waliingia na matokeo mfukoni tushinde nyingi tukae juuNdio watu hawaelewi
Pressure gani hiyo wamefanya hao jamaa asee ,ukiacha hiyo kaunta Tena msifie Elanga alikimbia Sana kamzidi saka na white
Hakuna kingine hao jamaa wamefanya
Arsenal ikishinda lawama ikifungwa lawama
Yaan mnataka wacheze perfecthata mpinzani asisogee langoni kwetu , hiyo timu labda ishuke kutoka mbinguni
Timu yoyote ikifungwa huwa inajilipua ,bado Arsenal wali handle mchezo had dk ya mwisho
Mbona mancity vs Arsenal,walipotufunga tuliwapelekea Moto had wakaachia ,nao mbona hawalalayaani
Tena mfumo wa leo nimeupenda ni mfumo wa zaman Sana wa Johan cryuffNilichojifunza hmu ndani watu huwa Hawafanyi analysis ya mechi kabisa....yaani wao ni ushinde tu tena usishambuliwe kabisa....EPL timu ndogo huwa ni zinazopanda daraja tu vngnevyo wte wengine ni wakubwa na Wana uzoefu wa ligi








Tuliwaambia humu kuhusu Biashara ya KAI jamaa wao yule oya oya akaja na stats na facts uchwara kumtetea.Na hapo ni game na forestvipi game za miamba isiyocheka kabisa kina Newcastle, man utd, man city, aston villa, Liverpool na brighton si ndo mtarudiii hapa kumtukana arteta humu kala 10%. Tulieni mambo ndo kwanza yameanza tutaongea lugha moja tu, tulishasema kai mmepigwa mara 2 zile 65 na kwenye mshahara.
Yaani hapa badoooo na mtasema![]()
Mashabiki wa chelkenge lini mlikuwa na akili , yaan mnapambana kila mechi kuangalia wapi anakosea mje humu kusema tumepigwaTuliwaambia humu kuhusu Biashara ya KAI jamaa wao yule oya oya akaja na stats na facts uchwara kumtetea.
KAI hata ukichukua Mama Ntilie ambae hajawah kuangalia mpr akamuona kwa mara ya kwnz uwanjan anajua kbs hapa hakuna mchezaj.
Huyu kijana anatembelea lile Goal alilotupiga UCL final lkn tofaut na hapo ni total rubbish mvivu na mzito sana.
#Arsenal boss Mikel Arteta on Eddie Nketiah after the win over Forest today:

Kwhy ulivo hauna akil umeona me mshabik wa Chelsea sio.Mashabiki wa chelkenge lini mlikuwa na akili , yaan mnapambana kila mechi kuangalia wapi anakosea mje humu kusema tumepigwa
Ifike muda mkubali sio mchezaji wenu,
Mkuu Hamis 77 nakuheshimu sana ila kwa kai mh muda mwl mzuri ila jua nakueshimu sanaMashabiki wa chelkenge lini mlikuwa na akili , yaan mnapambana kila mechi kuangalia wapi anakosea mje humu kusema tumepigwa
Ifike muda mkubali sio mchezaji wenu,
Mpaka Sasa Kai hajafanya vzr Wala vibaya ,Mkuu Hamis 77 nakuheshimu sana ila kwa kai mh muda mwl mzuri ila jua nakueshimu sana
Naona hamna masihara na premier league heheheheheLabyrinth 84 congratulations naona moto haujapoa
Watuwana wa underestimate ila hao jamaa hao ni hatari na hapo FFP inawabana walitaka wamchukue yule winga wa napoli kvaratskhelia na yule kiungo wa inter milan barella
Mkuu huwa nasoma kila utakachoandika kuhus mpira na nina kufatilia sana kwa karibu msanaMpaka Sasa Kai hajafanya vzr Wala vibaya ,
Kinachotokea Kai hata usajili haujakamilika tayari haters mlishaanza kumuandama
So kila mechi toka pre season watu wanaangalia wapi anakosea ,
Mbaya Zaid baadhi mashabiki wa Arsenal wanafata mkumbo ,walianza kwa Rice ,now wanahamia kwa Kai
Kai udhaifu wake ni ball striking tu ,
Kwasasa sijaona wachezaji wanaojua kupress Kama Kai, Jesus ,Mane ,Muller
Wewe akili huna Nani aliyekwambia mm nashikiwa akili ,yaani mwalimu anamuanzisha dk 90 mechi muhimu wewe uliyepo huku manzese unasema ni mzigoKwhy ulivo hauna akil umeona me mshabik wa Chelsea sio.
Naona umekurupuka tu ulikua unakunywa mnanasi bas umekuja kujibu tu ovyo ovyo.
Unajua ww sometimes ndo maana watu wanakuona hamnazo.. Ivi unaweza vipi kumwekea Dhamana Kai hata kama wewe ni mwehu?.
Yan wenzako hapa wanaona Kai mzigo ww umekaza Fuvu bado, Usiwe mshabik oya oya ambaye hutak kubal facts za wazi unatak kuonekana maoni yako uwa yako sahihi.. Kubali kua Chelsea wamewatapeli Big time.. Tena kama mna akil wapeleken mahakamani kesi ya Ulaghai walau mnaweza pewa hata hela yenu nusu.
Ndo maana nakwambia ww hata kama ni mwehu hauwez kumwekea dhamana Kai.Wewe akili huna Nani aliyekwambia mm nashikiwa akili ,yaani mwalimu anamuanzisha dk 90 mechi muhimu wewe uliyepo huku manzese unasema ni mzigo
Mechi vs mancity ,Kama kawaida lawama malalamiko yalielekezwa kwa Kai ,Mkuu huwa nasoma kila utakachoandika kuhus mpira na nina kufatilia sana kwa karibu msana
Newcastle leo mmepiga mpira mwingi sana aiseeee, sijategemea Aston Villa wangepigwa goli nyingi kiasi hiki tena hapo kuna nafasi kama 3 za wazi mmepoteza.hongera kwa ushindi mkuu japo last 10 minutes ulikua unashika mbupu tu , bahati awonyi alianzia benchi.
Game saa 1 :30 angalia uone match ya kibabe sana , uzuriii game zetu 5 tunakutana na miamba haswa tumalizane nao mapema, nyie forest tu ila mnapiga kelele mpira umalizike![]()
Ndo maana nakwambia ww hata kama ni mwehu hauwez kumwekea dhamana Kai.
Pa1 najua ww ni mwehu lkn sawa.
Uzur watu humu wanakujua jinsi gani ww ni tapeli na mlaghai unakua unawajaza wapumbav wenzio kama ww ujinga mwsh wa siku mambo yakiharibika unakimbia humu mbio nyng hauonekani.. Unabak kushinda kwny majukwaa ya vipodozi tu huko.
Wenzako wana Gunners wenye akil timamu wanajua kbs Kai ni mtu kwny game 30 anaweza cheza game 2 tu vzr zngne zote mkabak mnamtukana.