Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sisi mashabiki wa Arsenal at times tunakua cry babies sana asee.
Timber anacheza out of position na anaupiga mwingi tu.
Hivi unamjua Mtu anaitwa Bernado Silva ?? Huyu mreno hatari sana, Timber kwenye first game tena out of position alimfanya mshkaji hakua effective kabisa.
Sielewi at times tunataka wachezaji wa aina gani?
Kai bado anaadapt na system ya arsenal ila nadhani kocha anapenda namna mshkaji anavyohold mpira na jinsi anavyocheza akiwa hana mpira, mshkaji ana akili sana changamoto yake ni mzito na mpira wa arsenal uko quick kidogo. Naomba apewe muda ajiprove its too early to judge him asee.

Bro, how long shall we wait to see his (Kai) impact?
 
Dah 🤔
 
Against Liva au United magoli ya hivi unapigwa hata 6
bado hamjasema, na mtasema.
Arsenyo attempts 200 goli 2, halafu Forest attempts 2 goli moja.
Tena bahati yenu Taiwo Awoniyi na Elanga wameingia dakika ya 75 huko zile nafasi alizokosa Johson ndio angekua ameanza Awoniyi jukwaa lingejaa matusi hili leo.
Kwa hizi statistics halafu bado mlikua mnabana phumbu na kutamani mpira uishe aibu nimeona mimi.

#Arsenyo ni ileile tu juzi, jana na leo.
1691849621858.jpg
 
Sisi mashabiki wa Arsenal at times tunakua cry babies sana asee.
Timber anacheza out of position na anaupiga mwingi tu.
Hivi unamjua Mtu anaitwa Bernado Silva ?? Huyu mreno hatari sana, Timber kwenye first game tena out of position alimfanya mshkaji hakua effective kabisa.
Sielewi at times tunataka wachezaji wa aina gani?
Kai bado anaadapt na system ya arsenal ila nadhani kocha anapenda namna mshkaji anavyohold mpira na jinsi anavyocheza akiwa hana mpira, mshkaji ana akili sana changamoto yake ni mzito na mpira wa arsenal uko quick kidogo. Naomba apewe muda ajiprove its too early to judge him asee.

Kitu kingine, ujifunze kuheshimu mawazo ambayo yanatofautiana na upeo wako wa kuona na kufikiri
 
Kwa muonekano wa haraka Kama asenali atajitahidi sanaaaa kuna uwezekano akamaliza pwenti sawa na manisiti uchache wa magoli utamkosesha ubingwa hivyo itabidi labda asubirie fezi faivu kuwa bingwa😆😆😆.

Kwa ligi ilivyo kuwa na jitu kama halandiii anagusa mpira mara moja tu nyavuni pep aliona mbaaali...

Kwani tembo kashaanza kupanda mti huko au vp?
👣
 
Kwa muonekano wa haraka Kama asenali atajitahidi sanaaaa kuna uwezekano akamaliza pwenti sawa na manisiti uchache wa magoli utamkosesha ubingwa hivyo itabidi labda asubirie fezi faivu kuwa bingwa.

Kwa ligi ilivyo kuwa na jitu kama halandiii anagusa mpira mara moja tu nyavuni pep aliona mbaaali...

Kwani tembo kashaanza kupanda mti huko au vp?
One season wonder Pweti za City azitolee wapi?
Hii fezi foo ni ya Europa moja kwa moja.
 
Kuna mtu alikuwa anaongea ujinga kuhusu Martinelli
Ni mchezaji wa kawaida, ashukuru mungu ule mpira ulimfikia nketiha ila mpira ulishapotea ule, kondoo mtasema alidhamiria kutoa pasii, nyie akili zenu bhana.
 
Bro, how long shall we wait to see his (Kai) impact?
Its his first match of the season bro, unajua ili mchezaji aweze kuflourish lazima atengeneze harmony na wachezaji wengine, ata Odegard wakati yuko Onloan kwetu he struggled his first few games.

Ila Arteta pia anakosea kumuanzisha Kai wakati Trossard yuko nje, mchezaji ambae ameshaprove kua effective na style yetu of play. Kai angekua anakuja sub taratibu mpaka azoee.

Kingine tu ni kwamba tunahitaji a natural goal scorer type za kina Toney kumreplace majeruhi Jesus.
Kilio chetu ni Vanpersie, Henry, Ian wright. Mtu mwenye njaa
 
Kai mtumishi hewa

Na hapo ni game na forest vipi game za miamba isiyocheka kabisa kina Newcastle, man utd, man city, aston villa, Liverpool na brighton si ndo mtarudiii hapa kumtukana arteta humu kala 10%. Tulieni mambo ndo kwanza yameanza tutaongea lugha moja tu, tulishasema kai mmepigwa mara 2 zile 65 na kwenye mshahara.
Yaani hapa badoooo na mtasema
 
Back
Top Bottom