Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,440
- 19,476
Endelea kuota ndoto Nyevu broHii game ni mbeleko tu za kipa ..ila goli zinarudi, nott'forest ni wanangu wataupiga mwingi ..boli litatembeya goli zinarudi hizi..
Endelea kuota ndoto Nyevu broHii game ni mbeleko tu za kipa ..ila goli zinarudi, nott'forest ni wanangu wataupiga mwingi ..boli litatembeya goli zinarudi hizi..
Sasa huyu Arteta anauza mabeki wote, Thierney na Tomiyasu tukianza pancha ndo nitolee, playing players at their wrong natural positions si ujinga huu.Tierney to Real sociedad is ADVANCING
(@MatteMoretto Tier 1 )
DuuuhDuh! majeruhi yanaanza mapema sana
Unateseka ukiwa wapi chief?Hii game ni mbeleko tu za kipa ..ila goli zinarudi, nott'forest ni wanangu wataupiga mwingi ..boli litatembeya goli zinarudi hizi..
Ukimtoa Kai hii game munapigwaHavertz atolewe aletwe muuaji Trossard
Atolewe aingizwe TrossardKai namuona kama mvivu sana
Huu ni mwanzo wa musimu tuuu..nyie tumieni nguvu mwanzoni . Sisi tutamaliza ligi juu yenuUnateseka ukiwa wapi chief?

Ligi kwetu sisi ni kama foleni ya uji shule. Kila mtu atapata share yake. Ni dozi tu Kwa Kila mtuHizi fimbo kila mtu zitamuhusu![]()
Timber mkuuDuuuh
Nani kaumia mkuu.
Nimemiss kipindi cha kwanza.
Kipindi cha kwanza kulikuwa na mgongano mkuumwamba kaumia akiwa peke'ke na mpira.. hope isiwe ni injury mbaya.
Wote tulijua ni mzigo sielewi Arteta kaonq Nini!! Ni mvivu zaidi ya Ozil. Hapa tulipigwa mchana kweupeKai Havert Inabidi Apambane Kiwango Chake Bado